pole sana katika zile id 22 za Asprin ukaingia mkenge moja hivi na wewe unaanzaje kutongoza humu?unapenda jina avatar au nini?
Mijitu mikware bwana utaijua kutwa wanataka washushe suruali
asante sana Blaki Womani na heri ya mwaka mpya pia aise
Nimekumiss sana na leo nimekutaja kwenye topic moja ya malezi ya watoto kule MMU naomba uifuatilie sana
hahahahaha ile ya Kongosho at least kuna sehem anafika anakiri yeye ni KE sasa sijui bana
Sitosahau siku nilipotongoza dume lenzangu humu ndan mi nikidhan ni mrembo kumbe jina 2 lilinichanganya
jamaa alinitus ile mbaaya had asaiv naogopa kuingia humu.