Dupe
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 1,668
- 813
Lakini NEC wamechelewa sana kubandika makima vituoni
Sheria inasema siku 8 kabla ya uchaguzi majina yatabandikwa vituoni, sasa ww huko kwenu wamebandika lini mpaka useme wamechelewa?
Lakini NEC wamechelewa sana kubandika makima vituoni
haiwezekaniBoda boda wana vitambulisho halali vya kupiga kura
lakini majina yao hayaonekani viyuoni.
Je? hii si dalili mojawapo ya machfuko?
Nani kasema? Na wapo wangapi? Na wamejuaje kiwa ni madereva wa boda boda?Boda boda wana vitambulisho halali vya kupiga kura
lakini majina yao hayaonekani viyuoni.
Je? hii si dalili mojawapo ya machfuko?
Kwa kushirikiana na mwenyekiti wa mtaa
Sawa kabisa mkuu, maana na form tuliyojaza haikuuliza fani ya mtu.
alafu jueni kwamba, ulipo jiandikisha sio kwamba ndo utakuta jina lako, mhimu tembea sehemu ingine ndani ya kata yako jina utaliona au tumia ile namba ya *152*00#,ukiwa popote itakuonyesha jina lako liko kituo gani. Fuatilia usikate tamaa.
Mie langu lipo, au unaongelea bodaboda wa wapi?Boda boda wana vitambulisho halali vya kupiga kura
lakini majina yao hayaonekani viyuoni.
Je? hii si dalili mojawapo ya machfuko?
Mie langu lipo, au unaongelea bodaboda wa wapi?
VIJANA kati ya miaka 19 hadi25 wengi majina yao hayaonekani kwenye daftari la mpiga kura
In case hukuliona au limekosewa unafanyaje?kuna haja ya kuitazama upya hiyo sheria mdauSheria inasema siku 8 kabla ya uchaguzi majina yatabandikwa vituoni, sasa ww huko kwenu wamebandika lini mpaka useme wamechelewa?