Majina ya Bodaboda hayapo ktk kupiga kura

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
13,062
Reaction score
15,134
Boda boda wana vitambulisho halali vya kupiga kura
lakini majina yao hayaonekani viyuoni.
Je? hii si dalili mojawapo ya machfuko?
 
Mh! Hatari. Mbona hatujawasikia wao wenyewe wakilalama, na ni boda boda wa wilaya ama mikoa ipi? Na katika uandikishaji, Tume ya uchaguzi ilijuaje kama hawa ni boda boda? Maana ingekuwa kabila fulani, kidogo ningeamini ila boda boda, daah! Kamilisha taarifa zako aise, ndio utujie tena.
Ahsante!
 
Kama jna lako halipo kituoni ulipojiandksha ila una kadi yakupga kura Haki yako ipo palepale
 
Mh! Hatari. Mbona hatujawasikia wao wenyewe wakilalama, na ni boda boda wa wilaya ama mikoa ipi? Na katika uandikishaji, Tume ya uchaguzi ilijuaje kama hawa ni boda boda? Maana ingekuwa kabila fulani, kidogo ningeamini ila boda boda, daah! Kamilisha taarifa zako aise, ndio utujie tena.
Ahsante!

Sawa kabisa mkuu, maana na form tuliyojaza haikuuliza fani ya mtu.
 
Mh! Hatari. Mbona hatujawasikia wao wenyewe wakilalama, na ni boda boda wa wilaya ama mikoa ipi? Na katika uandikishaji, Tume ya uchaguzi ilijuaje kama hawa ni boda boda? Maana ingekuwa kabila fulani, kidogo ningeamini ila boda boda, daah! Kamilisha taarifa zako aise, ndio utujie tena.
Ahsante!

Kwa kushirikiana na mwenyekiti wa mtaa
 
Kwani we bodaboda yako unaiendeshea wapi?
 
Ni boda boda wa wapi..? Na huyo ni mwenyekiti wa wapi..? Toa taarifa vizuri tulishuhurikie kabla ya trh 24
 
Jamani kesi ya kulinda kura imekuwaje mwenye taarfa atuje huku wamekata UMEME kila kona hata radio za simu hazikamati
 
Wakati wanasema mhakiki majina yenu wengi walisema tutajua huko huko.....Sasa siku ya kupiga kura kitambulisho unacho jina halipo utasimama mita 200!!!
 
Ha ha ha.
Ndo madhara ya kuchukulia mambo poa.
Watu walihimizwa kuhakiki taarifa zao, na wenye kutaka kuhama vituo kufanya hivyo.
 
Alafu jueni kwamba, ulipo jiandikisha sio kwamba ndo utakuta jina lako, mhimu tembea sehemu ingine ndani ya kata yako jina utaliona au tumia ile namba ya *152*00#,ukiwa popote itakuonyesha jina lako liko kituo gani. Fuatilia usikate tamaa.
 
Kuna threaad ilikuja hapa inasema kuwa bodax2wameamka now wanampenda maghufuli. Imekuajevtena?
 
Back
Top Bottom