Majina saba ya askari walio uwawa Sudan

Tunataka Tanzania Yetu Irudi, Tanzania yenye uzalendo isiyouza Askari wake Kwa kipande kidogo Cha mkate, Tanzania isiyojadiliana Na wapuuzi wanaosema linda ila wewe usijilinde, Nyerere wapuuzi hao hakuwasikia eti mtoe amini mpakani mwako ila usimuingilie kwake, Nyerere hakuwa Na mjadala Na sheria Za kipuuzi, alimfukuzia mbali Amini si Tz tu hadi huko Uganda. Mshenzi ni mshenzi tu. Leo HII tuna VIONGOZI wanaochekacheka Na visichana tu, enyway hatuoneani gere laleni Na vibint mpendavyo but chapeni Kazi Basi, huu ujinja wa UN mtauendekeza hadi lini. Kwanini kutowasaka hao mabaradhuli Wa Sudan then Sudan become a peace state forever.. Mijitu michache inaongea upuuzi Kwa Jina la teritorial law. Ujingagani Watoto Na Kinamama wanakufa Kwa ushenzi wa watu wachache.... Upuuzi
 

Hayo mambo ya Amini unayoyasema ni mengine kabisa, na inaelekea hauyafahamu kwa undani!
 

Pumba gani hizi, watu wamekufa vitani halafu unaleta siasa zako za mtwara
 

Acha pumba.
 
Hayo mambo ya Amini unayoyasema ni mengine kabisa, na inaelekea hauyafahamu kwa undani!
Huyo anayejiita MKWELItu kwa kuandika upuuzi hajui lolote, inaonekana amefurahishwa sana na vifo vya hawa maaskari ili CHADEMA waendeleleze siasa zao za maji taka
 

Asante kibanga kwa taarifa inayojitosheleza
 

Hapo ndo ninapomchukia zaidi Kj, huyo mwizi kampa ubalozi...
 
Hivi ni lazima kila mahali (Darfur, Lebanon, nk) tupeleke sisi watz majeshi ya kulinda amani? isije kuwa ni kiherehere chetu kuonesha aliye magogoni ni mjeshi. Maana sisikii nchi jirani wakipeleka majeshi hayo. Kuuliza si ujinga jamani....
 
May there souls rest in eternal peace Amen.
 
Poleni sana wafiwa wote,
Pole sana Ritz
Mungu awapumzishe mahali pema sana wapiganaji wetu.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu sio muda wa lawama huu wala kuleta itikadi na chuki zako dhidi ya jeshi letu. Walale Pema Peponi.
 
Jamani natumaini kunawatu kutoka Juu, kunaswala la mausiano yetu na nchi majirani na zinazooonyesha chuki juu yetu. isije kuwa ni intelligent setup iliyofanya na maadui zetu kutuonyesha kwamba wanaweza kufya chochote wakitakacho. tufanye uchunguzi wa kina kwa Vijana wetu. Mungu alaze rohoo za marehemu mhala pema peponi.
 
Hivi mkuu wameifia Tanzania ama Sudan?Naomba kueleweshwa kwenye hili.Kuuliza si ujinga mkuu wangu.

Wameifia Tanzania kwasbb ktk umoja wa mataifa kila member ana mchango wake. Hivo Tz huchangia ktk ulinzi wa amani kwa hiyo walikuwa wanaplay part ya Tz ktk umoja wa mataifa. Hivo ni sahihi kusema wameifia Tz.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…