Nasikitika nahao waislam mauti yamewakuta katika mwezi mtukufu Wa ramadhani walitakiwa wafanye ibada
Kuna kaka yangu alienda DARFUR na Amerudi na hela chin ya million tano!
Hakuna kitu Mimi ninadhani zinatafunwa na akina shimbo wapya, ifike mahala tujue mikataba hiyo na faida zake!
jana nilisikikiza ile famous speech ya kagame alisema at hit us na tutapigwa bila KUJUA nani katupiga, anatamba kuwa whether by land, air we shall never cross the line when we get into the target!!!!!???
let us think twice badala ya kutumia GPA ZA below 2.7 na tamaa ZA utajiri wao
Vifo hivi viwakumbushe wanajeshi wetu kwamba watanzania wote ni ndugu na kwamba sote ni mavumbi na mavumbini ni lazima tutarudi. Mateso wanayoyafanya wanajeshi kwa raia wa Mtwara ni ya kinyama!!! Si ya kiutu hata kidogo!!! Ni bahati mbaya kwamba jeshi letu linatumiwa vibaya na wanasiasa!!! Mungu aturehemu sote na roho za wanajeshi hawa zipumzike kwa amani!!
Swaumu kali sana Unategemea nini?Hahaaa umeona eeeh..waislam wengi sana kule wanapelekana kwa mchongo na swaumu hii watakuwa walishindwa kuji defend
piga hesabu vizuri mkuu
Kuna ushahidi gani uliotumika kueleza jinsi walivyoshambuliwa..? au kuna walionusurika kufa...?
R.I.P our beloved Tanzanians.
Ni jambo baya lakini hali ya mtwara inanifanya nisione uchungu sana.au ndio kagame kaanza.[/QUOTE kama alisema atatu-hit from anywhere basi tusishangae, na sisi tumjibu kimyakimya!
kama Vipi warudi tu nyumbani, haiwezekani wao washambuliwe halafu wazuiwe kujibu mapigo.!!!!!
Duh polisi tena? Ni polisi hawa wa IGP Mwema ama ni Military Police (MP) wa Gen. Mwamunyange?Kwa mujibu wa channel 10 wamekufa JWTZ 6 na Polisi 1.
Nasikitika nahao waislam mauti yamewakuta katika mwezi mtukufu Wa ramadhani walitakiwa wafanye ibada
Kwa mujibu wa channel 10 wamekufa JWTZ 6 na Polisi 1.
Sio sahihi kusema wameifia tanzania. Sema wamefia haki, usawa na amani. Kupata justification ya kusema wameifia tanzania kwangu ni ngumu.Tanzania ina wajibika kuona dunia ni mahali salama pa kuishi kwa nadharia na kwa vitendo. Ni wanajeshi wa TANZANIA. wameifia Tanzania