Majina mengine ya Mungu

Majina mengine ya Mungu

My boss charminglady mada nzuri sana na umeuliza swali zuri sana..!

Kaa karibu mada hii ni moto wa kuotea mbali subiri uone itakavyo pamba moto!
Ngoja nijifiche hapa pembeni!
 
Last edited by a moderator:
Dungu zangu embu tuwe makini sana tusje tukapotoshana hapa,
Mungu hana jina lingine zaidi ya yeye kuitwa Mungu,kwa lugha na makabila tofautitofauti,ambayo yote yanamaanisha Mungu.
Lakini Mungu huyu anasifa nyingi sana,na kwenye biblia na koran mda mwingi zimetumika lugha za asiri ya kitabu chenyewe kwa mfano allah~arabic na vivyo hivyo hivyo kwenye bible.lakini yote yana maana aidha sifa za mungu au jina la mungu.ilifanyika hii ili kukwepa kubadili maana ya sifa anayotakiwa kupewa Mungu ndio maana tunaziona lugha hizo.

Na mkkifuatlia sana mtagundua zinafanana tu iwe kwenye uislamu au ukristo kwa sabab Mungu ni mmoja tu sema lugha ndio zimekaa kama ukuta kutufanya tushindwe kujua kama mmoja akisema God ana maana Allah au Mungu au yehova.

Kwa hiyo tunasema hivi.
God wetu sisi watanzania ni Mungu.
Na God wao waarabu ni Allah.wakati ni Mungu huyohuyo! Naskitika sana lugha zinavyotufanya tumgawe Mungu katika vipande vipande
Dah kaka upeo wako ni mkubwa sana na wenye busara, yaani tungepata watu wenye akili humu ndani kama zako naamini kabisa jamvini pangekuwa mahala salama, mi huwa nashindwa kuwaelewa wakristo na waislam wanaposema kila mmoja ana Mungu wake, na kila mmoja anasema Mungu wake ndiyo ameumba dunia na ulimwengu pamoja na vilivyomo, lakini ukiangalia hayo maandiko utagundua Mungu ni huyo huyo mmoja mwenye sifa nyingi na kila taifa linamwita kwa lugha yake, kwa mfano ukienda nchi zinazoongea kiarabu basi Mungu anaitwa Allah bila hata ya kujali dini husika, vile vile ukienda nchi wanazoongea kiingereza bila hata ya kujali dini Mungu anaitwa God. Ila sisi wakristo na waislamu wa Bongo sijui tumetoa wapi Allah na God ni tofauti, kweli akili zetu ni ndogo. Cha kushangaza Muislam au Mkristo wa Bongo akipata Tatizo siku zote usema Mungu wangu, na Siyo Allah wangu au God wangu. Ebu tuondoe tofauti zetu na tujitahidi angalau kuelewa kidago yaani inasikitisha sana unapomuona mtu tena msomi kabisa anasema Wakristo wana Mungu wao na Waislamu wana Mungu wao, kwa kweli inatia huruma.
 
charminglady;
Post nzuri sana il naomba nikusahihishe kidogo tu. Nitaanza kwa kutumia mfano halisi. Tanzania tuna Rais wetu anaitwa Kikwete, hivyo Rais ni cheo chake na Kikwete ndiyo jina lake. Tukirudi kenye swala la msingi, majina yote uliyoyataja hapo ikiwa ni pamoja na lile la Mungu, ni vyeo vyake Mungu, isipokuwa lile la Yehova. Mungu ni cheo chake na Yehova ndiyo jina lake. Jina jingine anaitwa Mimi Niko Ambaye Niko. Nadhani majina yake Mungu ni hayo tu mawili ila mengine yote ni vyeo vyake!
Jina ni moja; Yehova, rejea Kutoka 6:2,3. Maana ya jina hilo ndio, Mimi Niko, rejea Kutoka 3:14
 
Nimemtaja kikwete kwa maana ya kuwa anafahamika na kila mmoja wetu kulko ningetaja jina lako,
Ndio maana mijadala ya dini huonekana kutokuwa na tija kwa sababu ya watu wa aina yako...
Yaani hampo tayari kutransform uelewa wa kawaida ili kimjua mungu.

Hakuna Mungu wako na Mungu wa wengine Mungu nimmoja tu,unlesss you bilieve in gods and NOT in God.shida kwako ni lugha tu mkuu

The God, The Obama The
PHP:
Ngurubhe

Code:
#
mungu wetu hana ufanano na binadamu na majina yake yapo katika SIFA kuthibitisha UTUKUFU wak
.....
 
Dah kaka upeo wako ni mkubwa sana na wenye busara, yaani tungepata watu wenye akili humu ndani kama zako naamini kabisa jamvini pangekuwa mahala salama, mi huwa nashindwa kuwaelewa wakristo na waislam wanaposema kila mmoja ana Mungu wake, na kila mmoja anasema Mungu wake ndiyo ameumba dunia na ulimwengu pamoja na vilivyomo, lakini ukiangalia hayo maandiko utagundua Mungu ni huyo huyo mmoja mwenye sifa nyingi na kila taifa linamwita kwa lugha yake, kwa mfano ukienda nchi zinazoongea kiarabu basi Mungu anaitwa Allah bila hata ya kujali dini husika, vile vile ukienda nchi wanazoongea kiingereza bila hata ya kujali dini Mungu anaitwa God. Ila sisi wakristo na waislamu wa Bongo sijui tumetoa wapi Allah na God ni tofauti, kweli akili zetu ni ndogo. Cha kushangaza Muislam au Mkristo wa Bongo akipata Tatizo siku zote usema Mungu wangu, na Siyo Allah wangu au God wangu. Ebu tuondoe tofauti zetu na tujitahidi angalau kuelewa kidago yaani inasikitisha sana unapomuona mtu tena msomi kabisa anasema Wakristo wana Mungu wao na Waislamu wana Mungu wao, kwa kweli inatia huruma.

Utakuwa unaumia na kushangaa kwa kiwango sawa namimi,lakn tuskste tamaa...inapopatikana nafas kama hizi tuzitumie kubadilishana mawazo"
 
Dah kaka upeo wako ni mkubwa sana na wenye busara, yaani tungepata watu wenye akili humu ndani kama zako naamini kabisa jamvini pangekuwa mahala salama, mi huwa nashindwa kuwaelewa wakristo na waislam wanaposema kila mmoja ana Mungu wake, na kila mmoja anasema Mungu wake ndiyo ameumba dunia na ulimwengu pamoja na vilivyomo, lakini ukiangalia hayo maandiko utagundua Mungu ni huyo huyo mmoja mwenye sifa nyingi na kila taifa linamwita kwa lugha yake, kwa mfano ukienda nchi zinazoongea kiarabu basi Mungu anaitwa Allah bila hata ya kujali dini husika, vile vile ukienda nchi wanazoongea kiingereza bila hata ya kujali dini Mungu anaitwa God. Ila sisi wakristo na waislamu wa Bongo sijui tumetoa wapi Allah na God ni tofauti, kweli akili zetu ni ndogo. Cha kushangaza Muislam au Mkristo wa Bongo akipata Tatizo siku zote usema Mungu wangu, na Siyo Allah wangu au God wangu. Ebu tuondoe tofauti zetu na tujitahidi angalau kuelewa kidago yaani inasikitisha sana unapomuona mtu tena msomi kabisa anasema Wakristo wana Mungu wao na Waislamu wana Mungu wao, kwa kweli inatia huruma.

Mkuu Yehovah na Allah ni sawa?
 
WATU BWANA HIVI KWA MFANO TUKASEMA, HIVI RAIS KIKWETE JAKAYA MRISHO .NI
Mcheshi,
Anahuruma
Ana penda wanyonge
ni mvumilivu
JE HAYA NI MAJINA MENGINE YA RAIS?
HIZO NI SIFA NA SI MAJINA MENGINE YA MUNGU.
MBONA MNATAKA KUTUPOTOSHA WAKATI UKWELI UKO WAZI TU .MUNGU ATABAKI KUWA MMOJA HAYA MAJINA YA YEHOVA,ALLAH,NK HAYAMBADILI YEYE.YEYE ATABAKI KUWA NI YEYE TU
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100. Hizo zote wanazojadili ni sifa tu na wala sio majina tofauti ya Mungu. Mimi nafikiri uzi unge kaa vizuri kama ungesomeka majina tofauti ya Mungu katika lugha mbali mbali mfano Kiswahili - Mungu, Kiingereza - God, Kichagga - Ruwa, Kinyakyusa- Kyala, Kihehe/Kibena - Inguluvi, nk
 
Mkuu Yehovah na Allah ni sawa?
Mungu ni Mmoja ndugu yangu, hizo ni tamaa za kibinadamu tu kusema kila dini ina Mungu wake. Manake kama Mungu wa waislamu na wakristo ni tofauti, basi hata Adam walikuwa wawili na Eva walikuwa wawili which doesn't make sense. Sisi binadamu tunafanya hivi kutaka kuonyesha kuwa kila dini iko sahihi kuliko nyingine. Mungu Muumba mbingu na ardhi na aliyeumba vyote vilivyomo ni mmoja tu, na kwake yeye sisi sote tutarejea kwa hukumu.
 
Sasa hivyo vyeo vilitokana na nini, au viliandikwa wapi wakuu?
 
Jina ni moja; Yehova, rejea Kutoka 6:2,3. Maana ya jina hilo ndio, Mimi Niko, rejea Kutoka 3:14

Asante mkuu Makene, nimesoma hiyo mistari ya biblia. Swali langu hizo sifa tajwa zimeandikwa wapi au zimetokana na nini??
 
Last edited by a moderator:
hayo majina yanapatikana ktk vitabu vya Kiebrania.nimeelezwa hivyo na mwanatheolojia.
 
Kwa taarifa yenu shetani pia ni mungu wa dunia hii..
alah ndie shetani mwenyewe..
 
Mkuu Yehovah na Allah ni sawa?

Sio sawa!!
Yehova.. anachukia uovu..halipi visasi, anajitetea hatetewi, hana uelekeo maalum, hana kichefuchefu hata usipooga anakusikia..
Huyo ALAH sasa!
ana sehemu yake maalum usipoelekea huko hakusikii,
ana kichefuchefu usipooga anatapika..
yeye anatetewa hajitetei mwenyewe..
ukiua anakupa tuzo huko kwake..

acheni kudanganywa.. kuna Mungu wa kweli mmoja tu YEREMIA 10:10
 
Habari za wakati huu....
Naomba kufahamu haya majina mengine Mungu, je yalitokana na nini? Kwani nisomapo mafungu tajwa hapo sikutani ya hayo majina bali ni maana pekee...
1. Adonai ‐ Mungu Mwenye enzi yote ‐ Mwa 15:2‐8, Kut 6:2‐3

2. El‐Ohim ‐ Mungu Muumbaji ‐ Mwa 33:20, Kol 1:16‐17

3. El‐Elyon ‐ Mungu Aliye juu zaidi ‐ Mwa14:18, Dan 4:34

4. El‐Gibbor ‐ Mungu Mwenye Nguvu ‐ Isa 9:6, Zab 147:5

5. El‐Hai ‐ Mungu Aliye Hai/Anaishi ‐ Josh 3:10, 1Sam17:26

6. El‐Olam ‐ Mungu wa Milele ‐ Ufu 4:8, Kut 3:14

7. El‐Roi ‐ Mungu Aonaye kila kitu ‐ Mith 15:3, Zab 32:8

-
8. El‐Shaddai ‐ Mungu Mtoshelezi ‐ Mdo 17:28, Kumb 8:4

9. Jehovah ‐ Ajitegemeaye kuwepo ‐Kut 6:2‐8, Mdo 17:24‐25

10. Jehovah Shalom ‐Mungu Amani yetu ‐ Amu 6:22‐24

11. Jehovah Rapha ‐ Mungu Atuponyaye ‐ Kut 15:26

12. Jehovah Jireh ‐ Mungu Mtoaji wetu ‐ Mwa 22: 8, 14
-

13. Jehovah Nissi ‐ Mungu Ushindi wetu ‐ Kut 14:13‐14

14. Jehovah Saboath ‐ Bwana wa Majeshi ‐ Malaki 3:7

15. Jehovah Shammah ‐ Bwana ni Aliyepo ‐ Kut 3:14

16. Jehovah Rohi ‐ Bwana ni Mchungaji wangu ‐ Zab 23:1

17. Jehovah Tsidkenu ‐ Bwana ni Haki yetu ‐ Yer 23:6

18. Jehovah Mekaddishem ‐ Bwana Atutakasaye ‐ Kut 31:13

Title yako inasema "majina mengine ya Mungu" halafu kwenye hayo majina mengine kuna jina "Mungu" tena, I'm confused. Hayo majina alijipa mwenyewe au amepewa na watu? By the way kwa nini Mungu anahitaji kuwa na majina mengi kiasi hicho, dalili za kutokuwa na self confidence au?
 
sio sawa!!
Yehova.. Anachukia uovu..halipi visasi, anajitetea hatetewi, hana uelekeo maalum, hana kichefuchefu hata usipooga anakusikia..
Huyo alah sasa!
Ana sehemu yake maalum usipoelekea huko hakusikii,
ana kichefuchefu usipooga anatapika..
Yeye anatetewa hajitetei mwenyewe..
Ukiua anakupa tuzo huko kwake..

Acheni kudanganywa.. Kuna mungu wa kweli mmoja tu yeremia 10:10

naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom