Hiyo ni Moja ya shule zenye majina ya kipekee .... iko mwasonga kibada.... nilikua kiji - tour kidogo waungwana
Hhahahaha sijui nani alifikilia jina
labda m/kiti wa serikali ya mtaa wao
Na maana yake nini hasa ,yani uvumilivu katika ukoo?
Its true,hata familia zote hapo kijijini ni matatizo.Nadhani hawajawahi kufaulu hata mara moja.Hii shule inaelekea inashida kuanzia waalimu mpaka wanafunzi hahahaha
habari ndiyo hiyo!hahahahaha kweli kama ni mwenyekiti sijui watoto wake wana majina gani