Megawati Sukarnoputri
Abdallah Majura (Mzee wa Kipusa -- Radio One -- wakati huo) aliuliza swali: "Taja jina la Rais wa Indonesia". Wasikilizaji waliposhindwa, akaamua kutoa jibu lkn akashindwa kutamka "Sukarnoputri". Baada ya kujaribu kulitamka mara kadhaa bila mafanikio, akaamua kujigongea mwenyewe kengele.