We endelea kubonyesa italeta tu.Naitwa Leizer Oleusindika nilikua naulisia hii huduma yenu mbona nimebonyesa ilete mfua haijaleta?
Hahahaha! Ahsante baba, kuzaliwa mjini tabu kweli, uwe unatupeleka mara moja moja likizo kwa bibi!maana yake "acha tujidai"...daughter lugha ya baba inakutatiza eenh
maana yake "acha tujidai"...daughter lugha ya baba inakutatiza eenh
We St. Paka Mweusi acha kumsumbua dady angu!Just qurious man,how many languages can you speak fluently..??
Bonyesa ukiona wawingu mekuwa nyeusi acha manake mfua itakuwa mekaribia kunyesa!
We St. Paka Mweusi acha kumsumbua dady angu!
Thibitisha !Halafu ujue mimi na wewe interests zetu zinafanana sana....