Nikujibu tu wewe mtoa hoja. Hili jimbo kila kata ina shule 2 za sekondari.Pamoja na hujuma lakini sgd mashariki ndiyo inaongoza kwa makusanyo ya kodi. Kwa taarifa hili jimbo lina watoto wenye akili zaidi singida maana ndilo linaloongoza kitaaluma kwa mkoa wa singida,miaka mitatu sasa mfululizo majimbo mengine hayafikii ufaulu wa watoto wa East singida. Kama haitoshi ndilo jimbo pekee kanda ya kati lililo na wasomi wengi.