MAPARA ZNZ
JF-Expert Member
- Jul 1, 2016
- 272
- 79
Kwani lazima uandike na wewe si uwe kimya tu kama sie jitu zima ovyo
Km lipo chini kiuchumi ni wakati wa kuilalamikia ccm hapo zaidi ya miaka 50 lkn jimbo bado uchumi ovyo fungua akili zako uone tatizo lipo wp! Wao wanakusanya kodi maendeleo hakuna unaanza kumlaumu mbunge lini umempa kodi yako hakuletee maendeleo?