Majimbo waliyoshinda CCM


M

Mkulima

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2007
Messages
698
Likes
119
Points
60
M

Mkulima

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2007
698 119 60
Tuwe fair kwa vyama vyote, hapa cheni wekeni majimbo ambayo CCM wameshinda kama unayajua.
 
silver25

silver25

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Messages
744
Likes
1
Points
0
silver25

silver25

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2010
744 1 0
Tunduru Kaskazini (Mtutura CCM)
Tunduru Kusini (Ramo CCM)
 
FirstLady1

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Messages
16,727
Likes
802
Points
280
FirstLady1

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2009
16,727 802 280
sure ngoja wenye data waje
 
Dreamliner

Dreamliner

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2010
Messages
2,034
Likes
9
Points
135
Dreamliner

Dreamliner

JF-Expert Member
Joined Jan 17, 2010
2,034 9 135
Tupe updates wewe!
 
M

MZALAMO

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2009
Messages
582
Likes
439
Points
80
M

MZALAMO

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2009
582 439 80
Hawajashinda wakishinda tutaweka.
 
K

kilimajoy

Senior Member
Joined
Oct 31, 2010
Messages
132
Likes
1
Points
35
K

kilimajoy

Senior Member
Joined Oct 31, 2010
132 1 35
Tuwe fair kwa vyama vyote, hapa cheni wekeni majimbo ambayo CCM wameshinda kama unayajua.
Wewe Subiri hadi mwisho...ukichukua ya upinzani waliyoshinda basi yatakayobaki yatakua ya CCM!
 
Tusker Bariiiidi

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2007
Messages
5,173
Likes
653
Points
280
Tusker Bariiiidi

Tusker Bariiiidi

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2007
5,173 653 280
Siha-Kilimanjaro Aggrey Mwanri.
 
PakaJimmy

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Messages
16,231
Likes
351
Points
180
PakaJimmy

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2009
16,231 351 180
Wewe Subiri hadi mwisho...ukichukua ya upinzani waliyoshinda basi yatakayobaki yatakua ya CCM!
Simple Arithmetics!
Akishindwa hesabu na kusikia atashindwa?
 
Rutashubanyuma

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2010
Messages
169,611
Likes
705,438
Points
280
Rutashubanyuma

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Joined Sep 24, 2010
169,611 705,438 280
Unataka tuwe."fair" lakini huna takwimu zako za ki-uCCM sasa tukueleweje hapo?

Onyesha njia na wengine wakiona inafaa watakufuata........................
 
Abdulhalim

Abdulhalim

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2007
Messages
16,520
Likes
212
Points
160
Abdulhalim

Abdulhalim

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2007
16,520 212 160
Tuwe fair kwa vyama vyote, hapa cheni wekeni majimbo ambayo CCM wameshinda kama unayajua.
Sasa nani awe fair?? wenye chama chao akina Sheka na Malaria Sugu kwani wamekatazwa kufungua thread?
 
Speaker

Speaker

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2010
Messages
6,356
Likes
28
Points
135
Speaker

Speaker

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2010
6,356 28 135
ok,sawa umeruhusiwa lete matokeo hapa
 
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
31,899
Likes
8,133
Points
280
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
31,899 8,133 280
Morogoro Mjini..
Gairo
 
The Son of Man

The Son of Man

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2010
Messages
12,556
Likes
2,369
Points
280
The Son of Man

The Son of Man

JF-Expert Member
Joined Feb 9, 2010
12,556 2,369 280
Sasa mkuu kama hatujapata tufanyeje? Vumilia tu yatakuja kama yatakuwepo!
 
MTWA

MTWA

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2009
Messages
1,056
Likes
72
Points
145
MTWA

MTWA

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2009
1,056 72 145
Tuwe fair kwa vyama vyote, hapa cheni wekeni majimbo ambayo CCM wameshinda kama unayajua.
Yeyote mwenye data atuletee, lakini siyo issue maana yanayoleta msisimko ni mabadiliko. Baada ya upinzani kuchukua chao yanayobaki ni ya ccm.
CCm hiyo si ndo "control" ya experiment hii! hakuna haja ya kuipima
 

Forum statistics

Threads 1,251,869
Members 481,917
Posts 29,788,301