Los Angeles
Member
- Apr 29, 2013
- 57
- 3
kwani prof Jay alikuambia anataka ubunge?
Hata akiutaka,hana uwezo wa kumtoa Jenister huko!
chadema inao huo uwezo, masha alichomoka sembuse huko peramiho ?
kwani prof Jay alikuambia anataka ubunge?
Hata akiutaka,hana uwezo wa kumtoa Jenister huko!
hata hao mkuu ni mzigo kwa taifa, hawarudi kabisa.
toka lini warangi wakamchagua mkatoliki
Asilimia kubwa ya members humu si wapiga kura. Kina mama na akina baba wametulia wanasubiri mbili na kumi na tano wakaipihie ccm.
Mawazo yako ni mazuri lakini nakushauri uanzishe uzi wa rasimu ya katiba mpya tutajadili.TUJADILI RASIMU YA KATIBA GUYS. This is the only moment of thinking and discussing critically and logically about our Constitution draft rather than being in the depth illussion thought of Constituences.
Mwakyembe,lema,zungu,mnyika,mtemvu na cheyo.[/QUOTE]
Tatizo ni shule au bangi!... Hata Lema, Mnyika na Cheyo ni CCM?
nani kakwambia lukuvi atarudi jimbo la isimani au upo nje ya nchi hii,chiku hata asipopiga kampeni jimbo kachukua hata lukuvi anafehemu hilo!
Vipi kuhusu jimbo la Mwakyembe, unasemaje?Mnyika na Lema napinga,Mnyika ndio amekuwa mbunge wa majimbo yote ya Dar es salaam.Lema pia.
Vipi kuhusu jimbo la Mwakyembe, unasemaje?
Yupo jamaa anaitwa Gaston Francis anatarajia kugombea jimbo hilo kupitia CCMNachingwea.Jimbo la Chikawe
Wewe gamba nini? ivi Lema na mnyika ni ccm? au una lako jambo?Mwakyembe,lema,zungu,mnyika,mtemvu na cheyo.
kamanda pamoja na kilwa kaskazini tayari maccm wameshafunga virago.na mungu awalaze maala pema peponi amina.haya ni baadhi ya majimbo ambayo ccm wataya kabidhi upinzani
1.jimbo la aeshi.
2.jimbo la wassira
3.jimbo la mkulo
4.jimbo la magufuli
5.jimbo la kafumu
6.jimbo la mkuchika
7.jimbo la makinda
8.jimbo la lukuvi
9.jimbo la ndugayi
10.jimbo la nkamia
mengine unaweza kuongeza.................!
kamanda pamoja na kilwa kaskazini tayari maccm wameshafunga virago.na mungu awalaze maala pema peponi amina.haya ni baadhi ya majimbo ambayo ccm wataya kabidhi upinzani
1.jimbo la aeshi.
2.jimbo la wassira
3.jimbo la mkulo
4.jimbo la magufuli
5.jimbo la kafumu
6.jimbo la mkuchika
7.jimbo la makinda
8.jimbo la lukuvi
9.jimbo la ndugayi
10.jimbo la nkamia
mengine unaweza kuongeza.................!