Nikukumbushe
JF-Expert Member
- Jun 4, 2013
- 2,602
- 408
- Thread starter
- #101
Magwanda bwn kwa kujipa moyo hamna kitu hpo
This is called positive thinking towards success.
Magwanda bwn kwa kujipa moyo hamna kitu hpo
Maoni yangu ni kuwa marais watatu watatupasua masikio kqa ving'ora jamani bora awe mmoja tu maana watakuwa wanapishana kutwa airport kwenda ulaya kuhemea
MAJIMBO MENGINE:Haya ni baadhi ya majimbo ambayo ccm wataya kabidhi upinzani
1.jimbo la Aeshi.
2.jimbo la wassira
3.jimbo la mkulo
4.Jimbo la magufuli
5.Jimbo la kafumu
6.jimbo la mkuchika
7.jimbo la makinda
8.jimbo la Lukuvi
9.jimbo la Ndugayi
10.jimbo la Nkamia
mengine unaweza kuongeza.................!
naunga mkono