Majimbo ambayo CCM hawana chao 2015

Majimbo ambayo CCM hawana chao 2015

Haya ni baadhi ya majimbo ambayo ccm wataya kabidhi upinzani
1.jimbo la Aeshi.
2.jimbo la wassira
3.jimbo la mkulo
4.Jimbo la magufuli
5.Jimbo la kafumu
6.jimbo la mkuchika
7.jimbo la makinda
8.jimbo la Lukuvi
9.jimbo la Ndugayi
10.jimbo la Nkamia
11.Arumeru magharibi
12.Simanjiro
 
Sipendi kuona watu wanaoleta ngonjera humu kwa therad zisizo na uchambuzi mzuri na kutetea hoja,haya nini kimekufanya useme kuwa haya majimbo ccm watayaacha?
Rudi ufananue ili mjadili kwa hoja sio kurusha mawe humu halafu unakimbia kusikojulikana
Watu wameacha kujadili katiba wamerudi kwenye ngonjerana utabiri. Guys, you are stooping low kwa hakuna utafiti uliofanyika.


Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
jimbo la kahama kwa lembeli nako lazima wapoteze,mji una utajiri mkubwa lakini umasikini umekithiri,ameshindwa kutetea watu wake.
 
Nyi mnacheza hapa cdm hamchukui kitu. Naongezea cdm kifo kipo jirani sana tena mtajikill wenyewe.
 
Nyi mnacheza hapa cdm hamchukui kitu. Naongezea cdm kifo kipo jirani sana tena mtajikill wenyewe.

kweli cdm kifo kipo karibu cha kutoka chama cha upinzani hadi tawala ee apo nimekupata
 
Haya ni baadhi ya majimbo ambayo ccm wataya kabidhi upinzani
1.jimbo la Aeshi.
2.jimbo la wassira
3.jimbo la mkulo
4.Jimbo la magufuli
5.Jimbo la kafumu
6.jimbo la mkuchika
7.jimbo la makinda
8.jimbo la Lukuvi
9.jimbo la Ndugayi
10.jimbo la Nkamia
mengine unaweza kuongeza.................!

toka lini warangi wakamchagua mkatoliki
 
Dr Mwakyembe HAWEZI shinda hata ndani ya CCM kura za maoni,in case akichoropoka hata CHADEMA wamteua"Kungaipe" mwenyekiti wa kitongoji Mikumi-B atamshinda Dr Mwakyembe!

Dr Mwakyembe ni MB wa Taifa na wala sio wa Kyela!
 
Umegonga mlemle! majimbo yote ya Mtwara. ccm wanajua jinsi wananchi walivyo pania uchaguzi wa 2015. siku hizi ukimuona kada wao kavaa zile sare zao unashangaa kuona bado hajachomwa moto.kuna siku kuna kakada kamoja kutoka masasi kalivaa hiyo sare, alipofika mjini akagundua watu wanamwangalia visivyo akaingiwa na woga sana.
 
Kwa Lukuvi napinga kabisa lazima Arudi bungeni msijifariji na maneno ya Chiku. Chiku hata akigombea udiwani kule hapiti

nani kakwambia lukuvi atarudi jimbo la isimani au upo nje ya nchi hii,chiku hata asipopiga kampeni jimbo kachukua hata lukuvi anafehemu hilo!
 
Majimbo 50 yote ya Zanzibar basi CCM bye bye maana uozo mtupu
 
Back
Top Bottom