William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,657
- 2,252
Tatizo wengi wenu mnaojifanya kuchambua rasimu,hamjaisoma!
wamesema katika bunge la muuungano,kwa bara mkoa mmoja utahesabiwa kama jimbo na kwa zanzibar wilaya itakuwa jimbo. hivyo mikoa 25 ya bara ikiwa na wabunge 2 (me na ke) watakuwa 50. yale majinmbo ya sasa yataendelea kama sasa katika serikali ya tanganyika

Mkuu hata wewe haujasoma vizuri hiyo rasimu na kama umesoma bado haujaelewa.Tatizo wengi wenu mnaojifanya kuchambua rasimu,hamjaisoma!
wamesema katika bunge la muuungano,kwa bara mkoa mmoja utahesabiwa kama jimbo na kwa zanzibar wilaya itakuwa jimbo. hivyo mikoa 25 ya bara ikiwa na wabunge 2 (me na ke) watakuwa 50. yale majinmbo ya sasa yataendelea kama sasa katika serikali ya tanganyika
kwahiyo katiba ya muungano imewatengenezea hadi watanganyika jinsi ya kuunda bunge lao?
Hata wewe bado haujaelewa kabisa.Sure mkuu, hata mimi nilichokielewa kwenye mfumo unaopendekezwa ni kwamba sasa wabunge watakuwa wengi zaidi.maana tutakuwa na wabunge wa tanzania bara, idadi yaweza kuwa sawa na ilivyo sasa na tutakuwa na bunge la muungano hao 75.
kwa upande wa mawazili pia itakuwa hivyo.
ndo maana yake,kwa ufupi hili bunge unaloona sasa litakuwa la tanganyika,la muungano litaundwa na hao 75 (50 tanganyika,20 zanzibra na 5 special)
Hata wewe bado haujaelewa kabisa.
Hii ni rasimu ya katiba ya Muungano wa Tanzania na sio rasimu ya katiba ya Tanganyika.
Rasimu hii haina mamlaka ya kuwasemea watanganyika namna ya kuwa na bunge lao.
Ilichokisema ni kuwa mfumo wa bunge la sasa lenye wabunge zaidi ya 350 utafutwa na bunge litakuwa na jumla ya wabunge wasiozidi 75 tu( wakitoka Zanzibar na Tanganyika) na kwa uwiano sawa wa kijinsia.
Hata wewe bado haujaelewa kabisa.Sure mkuu, hata mimi nilichokielewa kwenye mfumo unaopendekezwa ni kwamba sasa wabunge watakuwa wengi zaidi.maana tutakuwa na wabunge wa tanzania bara, idadi yaweza kuwa sawa na ilivyo sasa na tutakuwa na bunge la muungano hao 75.
kwa upande wa mawazili pia itakuwa hivyo.
Inawezekana wewe umesoma rasimu tofauti na ya WARIOBA! nafanya uatartibu wa kuitoa PDF to Word ili nikuingize hapa kipengele unachosema.
Bunge la muungano ndilo litakuwa na 75,wale wabunge wanaounda 350 kutoka majimbo ya sasa bado watakuwepo katika serikali shirikishi (tanganyika na zanzibar labda serikali hizi zibadilishe) unapoandika jitahidi kuweka neno ama bunge la muungano au la tanganyika!
Khaa!! nani kakwambia kuwa gharama za siasa zimepunguzwa?? Kumbuka hiyo ni Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Bado ya Tanganyika, Zbar wao wanayo tayari :heh:Nimefuraishwa na mapendekezo ya majimbo ya uchaguzi kupunguzwa sana.
Faida zake
ghalama za kuendesha serikali kushuka.
2.wajumbe kupata muda wa kutosha kuchangia
3.kupunguza wabunge matwitwitwi. Yani hoja inaungwa mkono ndioooo!
4. Nazani ata wasinziaji na watorokaji watajitoa.
Maswali nayojiuliza kigoma linaweza kuwa jimbo mmoja nani atakuwa mbunge wake? Zitto, Kafulila, Machari, Selukamba au Mkosamali.
Vipi Arusha basi akiwa lema vipi Manyara ni selasini, mch au nasari?
Kitu Kikubwa swala la jinsia mbili kila jimbo ni
udhalilishwaji wa wazi wa kikatiba thidi ya wanawake. Kwa kukubali hilo ni kukili kuwa wanawake wa tanzania hawawezi kushindana na wanaume na swala hilo kubaki kikatiba ni kitu kibaya zaidi bora lingekuwa la kisheria na lingepewa muda maalumu likaja likaödolewa baadae.
Pili ni bora tukawajengea wanawake uwezo wa kujiamini zaidi kwa kuwa huru kushindana na wanaume kwenye nafasi zote na kama kunaaja ya kuwa na viti maalumu bac kwenye majimbo mawili ya uchaguzi yatoe mwanamke mmja. Mfano Mwanza na Shinyanga yakiwa majimbo basi kwenye majimbo hayo yaunganishwe liwe jimbo mmoja la uchaguzi kwa upande wa wanawake ila wanawake wengine wenye uwezo wawe huru kugombea shinyanga au mwanza kama wabunge na si kwa mgongo wa viti maalumu.
Hivyo hawa viti maalumu bara wawe 12 au 13 na zanzibar watano tu.
Wanawake wengine wagombee kawaida.
Wabunge ke na me kwa kila jimbo kidunia hili ni la kipekee
mwishowe ni raisi ke na me. Nadiwani ke na me
na Waziri ke na me. Ivi kivipi wanawake na wanaume tanzania tusiaminiane iliali tunaoana tunapendana tunasaidiana na tunazaliana?
Je majimbo kupunguzwa linawezekana? Kama wabunge hawa watakaa kulijadili hili watalikubali kweli?