William Mshumbusi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 1,656
- 2,250
Nimefuraishwa na mapendekezo ya majimbo ya uchaguzi kupunguzwa sana.
Faida zake
ghalama za kuendesha serikali kushuka.
2.wajumbe kupata muda wa kutosha kuchangia
3.kupunguza wabunge matwitwitwi. Yani hoja inaungwa mkono ndioooo!
4. Nazani ata wasinziaji na watorokaji watajitoa.
Maswali nayojiuliza kigoma linaweza kuwa jimbo mmoja nani atakuwa mbunge wake? Zitto, Kafulila, Machari, Selukamba au Mkosamali.
Vipi Arusha basi akiwa lema vipi Manyara ni selasini, mch au nasari?
Kitu Kikubwa swala la jinsia mbili kila jimbo ni
udhalilishwaji wa wazi wa kikatiba thidi ya wanawake. Kwa kukubali hilo ni kukili kuwa wanawake wa tanzania hawawezi kushindana na wanaume na swala hilo kubaki kikatiba ni kitu kibaya zaidi bora lingekuwa la kisheria na lingepewa muda maalumu likaja likaödolewa baadae.
Pili ni bora tukawajengea wanawake uwezo wa kujiamini zaidi kwa kuwa huru kushindana na wanaume kwenye nafasi zote na kama kunaaja ya kuwa na viti maalumu bac kwenye majimbo mawili ya uchaguzi yatoe mwanamke mmja. Mfano Mwanza na Shinyanga yakiwa majimbo basi kwenye majimbo hayo yaunganishwe liwe jimbo mmoja la uchaguzi kwa upande wa wanawake ila wanawake wengine wenye uwezo wawe huru kugombea shinyanga au mwanza kama wabunge na si kwa mgongo wa viti maalumu.
Hivyo hawa viti maalumu bara wawe 12 au 13 na zanzibar watano tu.
Wanawake wengine wagombee kawaida.
Wabunge ke na me kwa kila jimbo kidunia hili ni la kipekee
mwishowe ni raisi ke na me. Nadiwani ke na me
na Waziri ke na me. Ivi kivipi wanawake na wanaume tanzania tusiaminiane iliali tunaoana tunapendana tunasaidiana na tunazaliana?
Je majimbo kupunguzwa linawezekana? Kama wabunge hawa watakaa kulijadili hili watalikubali kweli?