Majiko ya kutumia solar na mawe kupikia.

Humble African

JF-Expert Member
Jul 28, 2013
4,781
14,412
Habari wandugu!

Tatizo la kuoanda bei kwa gesi na mkaa limepatiwa suluhisho baada ya majiko local yanayotumia mawe na nguvu ya jua ya solar kugunduliwa.

Jiko hili linatumia mawe ya kusugulia miguu kutengeneza nishati ya moto ambayo yanaweza kudumu kwa miezi 7 baada ya kuanza kutumiwa nguvu ya nishati inachagizwa na nishati itokanayo na solar energy ambayo inatunza moto kwenye kifaa maalum kilichomo ndani ya jiko.

Tunapatikana Mwanza kwa sasa bila order zinafika mkoa wowote hapa Tanzania. Nimeambatanisha na picha kwa maelezo zaidi.

Au piga 0755006470

Ni rahisi na rafiki kwa mazingira. Karibuni!
IMG_20170404_122327.jpg
 
Yaani ugunduzi mkubwa namna hiyo ambao unatakiwe uwe umewekwa kwenye world recored tangu 2013 picha hiyo ilipopigwa mpaka leo hakuna mtu anayejua huduma yako? mwanza wamemaliza misitu yoote ya geita kwa ajili ya mkaa nimekwenda mwanza nimetembelea maduka yooote, maonyesho kuanzia nane nane , sabasaba, wajasiriamali na veta sijawahi kuona bidhaa yoyote ya aina hii... au ni idea ?
 
Hii kitu kwanza sasa hivi makampuni makubwa yangetakiwa kuingia ubia na mvumbuzi, jamaa anahitaji platform, hawa ndiyo ma genius wa kujivunia.
 
avogadro miaka miwili nyuma ilikuwa idea ila leo imekuwa ni bidhaa tayari na imeshaanza kuuzwa sehemu mbali mbali nchini ila kwa kuchechemea sana ikizongwa na changamoto kibao.

Ni innovation ya mpwa wangu genius na makini saana sema hakuna anaejali kwa hiyo his talent and effort goes in unnoticed way mkuu. Najaribu kumsuport positively but sometime mpaka nakata tamaa.
 
Hii kitu kwanza sasa hivi makampuni makubwa yangetakiwa kuingia ubia na mvumbuzi, jamaa anahitaji platform, hawa ndiyo ma genius wa kujivunia.
It gives great joy kusikia maneno murua hivi kutoka kwako. Ni innovation ya mpwa wangu nadhani zaidi anahitaji kuwa linked tu.
 
Jamani, umejaribu kwenda VETA kuona kama utapata msaada wa kuboresha kidogo design?
Ni kazi ya mpwa wangu nilimpeleka mpaka kwenye maenyeshobya SIDO na akachukua namba moja kwa kuwa na bidhaa bora na best innovation na wao wakakiri kwamba its the best product they have ever came across.

Baada ya hapo wakataka tuwape more info jinsi ya kutengeneza bidhaa haraka nikasense ideas inaibiwa hivi hivi, nikamng'ata sikio mpwa atoe maelezo shallow na confusing akafanya hivyo then tukapeana mikono tukaachana. Hakuna alieonyesha kutaka kutuunganisha au kutusuport in any way ni Mimi tu na kamshahara kangu kagavoo ndo napush idea iwe possible.

Its scary!
 
HOW IT OPARATE ?
HOW MUCH PER SET..
TOA MAELEZO KWA KINA..!
Its simple saana unaweka mawe yako yale ya kusugulia miguu manne yenye vitobo vitobo kwenye jiko yanauzwa mia tano kila moja na utatumia kwa miezi zaidi ya saba, mpaka kuisha kwake.

Ukitaka kuwasha kuna switch za kuwashia taa pale (Angalia kwenye picha utaona) ukiweka on ndio tayari moto unawaka unaanza kupika comfortable kabisa.

Bei yake nitamconsult mpwa wangu ndie mzalishaji mkuu. Ila ni affordable saana kulingana na kipato cha mtanzania.
 
"""
safi...
 
Mbona huweki bei sisi tunataka tununue ili tuwe mashahidi wa business yako tupe bei na utoe mafunzo namna ya kutumie gesii imepanda mno na mkaa unapigwa marufuku so ni wakati wako wa kuteka soko So humble African ninahitaji jiko
 
Umesema kitu kikubwa saana mkuu, inaweza kuwa kama M-PESA ilivyokuwa awali watu waliignore ila as time goes on watu waliielewa ila mpaka watu walipopaza sauti na kuisuport brandy.

Shime shime wana JF pelekeni mbele hii fahari ya Tanzania.

Made in Tanzania.
Hongera sana Mkuu kwa Mpwa wako kufanya ugunduzi bora kabisa na itafanikiwa maana hapa Africa tunavipaji vingi sana kumbe itafikia muda hakuna kuagiza bidhaa nje ya inchi maana wavumbuzi wanapatikana hapa Tanganyika ni kiasi cha kuwaunga mkono tu Safi sana.
 
Biashara bila bei ni sawa na duka bila mlango wala muuzaji, weka bei tuagize kulingana na badget zetu...!!!
 
Its simple saana unaweka mawe yako yale ya kusugulia miguu manne yenye vitobo vitobo kwenye jiko yanauzwa mia tano kila moja na utatumia kwa miezi zaidi ya saba, mpaka kuisha kwake.

Ukitaka kuwasha kuna switch za kuwashia taa pale (Angalia kwenye picha utaona) ukiweka on ndio tayari moto unawaka unaanza kupika comfortable kabisa.

Bei yake nitamconsult mpwa wangu ndie mzalishaji mkuu. Ila ni affordable saana kulingana na kipato cha mtanzania.
Huyo Mpwa wako akupe maelezo ya kitechnical zaidi ....
1. Je linachukua muda gani kupata joto hadi uweze kulitumia?
2. Halitoi Moshi?
3. Mawe yanakaa miezi saba hata ukichemshia makande kila siku?
4. Unapolitumia unatakiwa uwe kwenye Jua au hata ukiwa chumbani linapika?
5. Hiyo hapo juu ni solar panel? na kama ndio basi linaweza kutumia umeme mbadala 12Volts?.
6. Je usiku muda hakuna jua litawaka? na baada ya kuwaka linahitaji bado nishati ya sola?
 
Back
Top Bottom