dudupori
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 1,795
- 1,923
Mkuu hii project imefikia wapi, tupe mrejesho...Ni kweli kabisa! yana save pesa na nguvu sana tu mkuu, ukiwa na kiroba kizima cha mawe ya kusugulia magaga unasahu kabisa kama kuna gharama za gesi na mkaa hapa duniani.
Niko naendelea kutengeneza video fupi ya makala ya jiko moja Kali lenye Oven na matairi yake.
Usikae mbali napandisha mzigo punde tu.