Kutokana na matokeo yaliyotangazwa na NEC hadi sasa majiji ya Tanzania yamekombolewa na CHADEMA majiji hayo ni
Mwanza City (Nyamagana) Ezekiel Wenje
Arusha Godbless Lema
Mbeya Joseph Mbilinyi
Je nini matokeo ya jiji moja lililobaki Dar es Salaam kwa maana jimbo la Ilala. Wakazi wa Dar es Salaam wameendelea kuwaangusha Watanzania. DSM ambayo wakazi wake wana taarifa/habari kuliko huenda wakazi wengine wote wa nchi hii, hivyo walitegemewa kuwa chachu ya mabadiliko ya nchi hii wameendelea kuwaangusha watanzania kwa kuichagua CCM ambayo inawakilisha ufisadi badala ya kuchangua uadilifu (CHADEMA).
Mageuzi yote duniani huanzia capital city na kuenea sehemu zingine za nchi. Lakini wakazi wa DSM kushindwa kufanya hivyo hamukuwatendea kabisa HAKI wananchi wa Tanzania. Hongereni sana wakazi wa majiji ya Mwanza, Arusha na Mbeya. Mungu yuko pamoja nasi.