Elections 2010 Majiji ya Tanzania yaangukia mikononi mwa CHADEMA

Tatizo la Dar ni udini...
Ni kweli....lakini kwa mchanganuo ufuatao

1) UDINI = unachangia tatizo kwa 45%

2) USWAHILI (unaoshabihiana kidogo kwa tabia na (1) hapo juu) = unachangia tatizo kwa 30%

3) MASLAHI (wafanyabiashara wakubwa - wengine mnawaita wahindi, etc) = yanachangia tatizo kwa 15%

4) MASLAHI (middle class ambao wameridhika na ku-possess vijigari, vijijumba, etc) = yanachangia tatizo kwa 10%
 
dar mbona wamechagua chadema

ILALA - watu wengi wanafanya kazi wilaya ya ilala lakini wanaishi majimbo ya kawe na ubungo
watu wanaokaa mjini ni wafanyabiashara wenye asili ya asia, hawa ni ccm hata kama wanashida ya maji
kwa hiyo ilala lazima liende ccm.

lakini tiyari dar imeongea ubungo ni chadema, pia kawe na segerea ni chadema lakini tume inachelewesha tu....
temeke ni cuf....
 
Ni kweli....lakini kwa mchanganuo ufuatao

1) UDINI = unachangia tatizo kwa 45%

2) USWAHILI (unaoshabihiana kidogo kwa tabia na (1) hapo juu) = unachangia tatizo kwa 30%

3) MASLAHI (wafanyabiashara wakubwa - wengine mnawaita wahindi, etc) = yanachangia tatizo kwa 15%

4) MASLAHI (middle class ambao wameridhika na ku-possess vijigari, vijijumba, etc) = yanachangia tatizo kwa 10%

5) unafki 30 %ukifanya udini 5%
6) uhindi 10%
 
Ni kweli....lakini kwa mchanganuo ufuatao

1) UDINI = unachangia tatizo kwa 45%

2) USWAHILI (unaoshabihiana kidogo kwa tabia na (1) hapo juu) = unachangia tatizo kwa 30%

3) MASLAHI (wafanyabiashara wakubwa - wengine mnawaita wahindi, etc) = yanachangia tatizo kwa 15%

4) MASLAHI (middle class ambao wameridhika na ku-possess vijigari, vijijumba, etc) = yanachangia tatizo kwa 10%

umefanya utafiti ndo ukapata huo mchanganuo kwa %?? naweza nikakubaliana na wewe kwa kutaja tu hizo class lakini usiziweke kwa % km hazijafanyiwa utafiti.
 
Tatizo na "upwani - uswahili". Mswahili siku zote kama anaweza akauza nazi mbili akanunua chakula na akabakiwa na hela kidogo ya kahawa na kashata kwake inatosha kabisa. Ukitaka uamini angalia matokeo then linganisha na majimbo yake Kinondoni, Ilala, Temeke, Kawe, Ukonga, Ubungo n.k. Waswahili wengi wapo majimbo gani????
 
mh hii si sawa!
 
Upo sahihi ndugu yangu hili ni tatizo.
Dar wajifunze kwa mwanzo.Shinikizo linatakiwa ili haki itendeke.
Dar wanajitia wako busy.Wa mwanza waliacha kazi zao na wakafanikiwa .Unadhani kama sio ile nguvu ya umma jana wangeshinda?
 
Ikulu iko ILALA jamani. Ukiona hata majirani zako hawakuungi mkono kwa lolote ujue unastahili kuwa mbinguni. Nimeambiwa Ukonga inaelekea CHADEMA, vivyo hivyo Segerea, Kawe na Ubungo ambayo tayari ni ya CHADEMA. CUF kama ingekuwa makini ingechukua majimbo ya TEMEKE na KIGAMBONI.
 
umefanya utafiti ndo ukapata huo mchanganuo kwa %?? naweza nikakubaliana na wewe kwa kutaja tu hizo class lakini usiziweke kwa % km hazijafanyiwa utafiti.
Si rasmi kwa vigezo vya research methodology.
Ni wa kimazingira tuliyonayo zaidi.......tofauti yake na utafiti rasmi inaweza kuwa very marginal.
 
Back
Top Bottom