Lovebird
JF-Expert Member
- Sep 27, 2012
- 6,878
- 10,515
Wosia kutoka wazazi pande zote mbili
Bwanaharuc: unaona mwanangu hana hata kovu lolote, asije akajakutusalimu na makovu. Alikuwa anakula na kushiba,
amelelewa katika maadili mema na ya kumcha mungu. familia yenu impe mungu/mola nafasi
Bi haruc: karibu kwetu, tunafurahi kuongeza familia mwenetu amelelewa katika maadili ya kumcha mungu, ya heshima, hakuwahi hata siku moja kutenda tofauti na malezi aliyolelewa
there is a lot of information asymmetry between the families and btn maharuc
Baada ya Haruc
Matusi, Kejeli .Dharau ..no ibada/wala sala Why????????????????????????