Nikikuomba mzigo ukisema mimi sio mwanaume wakoHapo kwenye mawasiliano mazuri ndo penyewe ndo kukubaliwa kwenyewe.....
Mapozi inategemea may be kuna vitu hajaridhika nawe hivo anajipa time ili uoneshe vitu vitakavofanya apate hisia.
NimekujaNjoo nikupe binti yangu
hahaaHapana boss,mimi ktk mitongozo Kukataliwa kumezidi kukubaliwa yani nin HASARA,operating at a Loss! Ila hatukomi!!
Una shngapiNimekuja
Kuna wengine bila kukumbushia wanajifanya kama wamesahau.."ndio nimekubali" mmmmh hapana sio tamu kabisa
Si kwamba mkuu unaambulia wale wasiojielewaPoleni sasa. Wanawake sikuizi ni wakutongoza kweli? Mi hta kutongoza sijui. Najua kuita geto na kugegrda tu.
Tena ngoja nikajiandaye leo kuna kaFirst year from chuo flani nimekakaribisha kwangu. Knakuja namaliza. Nyie endeleeni na mambo yenu ya kizamani.
hadi anakuja kukupa story huoni kaeleweka?Kuna wengine bila kukumbushia wanajifanya kama wamesahau..
Unakuta mmekubaliana kesho akupe jibu ila hiyo kesho ikifika mkikaa atakuhadithia story za kirikuu tuu. Na usipomuuliza anavunga tu
Unataka sh ngapi?Una shngapi
Sawa ila samtaim mpunguze u serious. Mwengine ukijifanya ndo umemuelewa tayari, ukaanza kuleta mada zako za mapenzi atakukata jicho la onyo hilo..[emoji3]hadi anakuja kukupa story huoni kaeleweka?
Nadharia nyingi zimepitwa na wakati, nina mifano kadhaa ambayo wanawake wameniambia jibu no.1-4 na wote nimewagegeda mwisho wa siku.
Siri kuu ni moja, “know your target” kwenye kutongoza kuna vitu muhimu kuvitilia mkazo. Hivi ni “input-output” yaani ana react vipi unapofanya kitu.
Sikubaliani kumtokea KE siku ya kwanza, acha mvuto kati yenu ujengeke. Utajikuta unatupia sound dk 2 tu ushakubaliwa, zinabaki story tu “oohhh nilikupenda tokea zamani” mara “oohh nilijua una mtu” au “flani akijua itakuaje?”
Ohooooooo.....Hivi ninyi kumbe wageni sana
Pitia kwa headmaster hapa
Nimemkumbuka mpenzi wangu mtoto wa aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya ndani
Hii sasa duh
Mke wa mzungu ananitaka, sijui nifanye nini? (True Story)
Hapa pia
Jifunze hapa technics za kuwapata mademu kulingana Na mazingira (hata wake za watu)
Mke wewe wa balozi
Hivi kinachofanya mke wa mtu kuwa mtamu sana nini? Nimekumbuka utamu wa mke wa balozi
tricky zipo nyingi sana,kutongoza ni kizamani maisha yashabadirika unaweza kutumia mbinu yeyote na ukampata mwanamke mzuri tu sababu ya ukichaa wako,wanawake wanapenda fun things,they need to feel happy and be loved,tena kwa vitu vya kijingakijinga tu,kuna demu mkali kitaa alihamia vijana wamekimbiza na saundi zao kawachomolea,mhuni nilivyoonyeshwa nikamlia tyiming anapita nikampiga picha kali kwa kutumia simu,alikuwa anakuja uelekeo ninaotokea,akahisi nimempiga picha,tulivyokutana nikamshika mkono nikamwambia mambo huku kakunja sura,akajibu huki hapendi nikamwambia nimekupiga picha umejiona ulivyo mzuri,akaitazama kabla hajasema chochote nikamwambia nipe namba yako ya whatsapp nikurushie picha yako,akacheka akaniambia nimpe simu aiandike,akaandika akanipa simu nikaisave nikamrushia pia na kumsifia kidogo,akajibu kuwa nimemfurahisha pia naonekana mtundu,tukachat chat kama wiki hivi akala dyu dyu hadi saiv ni mwanamke wangu,nikaonekana biiingwa kumbe tricks tu..so mwanmke yeyote unaweza kumpata popote bila sababu yeyote ya maana,siamini katika kanuni yeyote..
😀😀😀Sawa ila samtaim mpunguze u serious. Mwengine ukijifanya ndo umemuelewa tayari, ukaanza kuleta mada zako za mapenzi atakukata jicho la onyo hilo..[emoji3]
hahahah limekosa "tuvituvitu" flani hivi twa kunogesha jibu lenyewe"ndio nimekubali" mmmmh hapana sio tamu kabisa
Yeah yani jibu kaaavu halivutiihahahah limekosa "tuvituvitu" flani hivi twa kunogesha jibu lenyewe