Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,672
- 167,738
Geto ni wapenzi tayariHahahaha,kwaiyo utakuja tu getto na kuanza kuniita baby!
[emoji16][emoji16][emoji16]
Geto ni wapenzi tayariHahahaha,kwaiyo utakuja tu getto na kuanza kuniita baby!
[emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaha, nimependa modus operandi yakoGeto ni wapenzi tayari
Umeelewa pindi kijana??!hili fundisho lina part 2?...
Sasa kama umemkubali mtu huwa unamwambiajeMwanaume anaetongoza afu anauliza "sasa jibu langu vipi" huwa namuona mshamba, mshamba sana, namaanisha mshamba mnooo.
Sasa ushamba uko wapi aisee, si anataka ajue msimamo wakoMwanaume anaetongoza afu anauliza "sasa jibu langu vipi" huwa namuona mshamba, mshamba sana, namaanisha mshamba mnooo.
Hapana bana, we rusha nyavu uendelee na story nyingine huku unacheki reactionsSasa ushamba uko wapi aisee, si anataka ajue msimamo wako
Reaction saaingine zina ku dilute huelewi umekubaliwa au bado.Hapana bana, we rusha nyavu uendelee na story nyingine huku unacheki reactions
Niambie basi kama umekubali ili nijueMwanaume anaetongoza afu anauliza "sasa jibu langu vipi" huwa namuona mshamba, mshamba sana, namaanisha mshamba mnooo.
Ataona matendo yangu, akiuliza jibu ananikata stimu.....Sasa kama umemkubali mtu huwa unamwambiaje
sijui unapenda wanaume wa namna ipi
Nakuchulia kama kakaangu/I see/take you as my brother.
Dadeki jibu linauma hili asikuambie mtu,[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Napenda uwe rafiki yangu tu/Tubakie marafiki tu
Majibu Randomly(Mi mkubwa kwako au wewe mdogo sana kwangu.
[emoji25] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
"ndio nimekubali" mmmmh hapana sio tamu kabisaNiambie basi kama umekubali ili nijue
Kuna kuzungushwa flani hivi huku ukisomwa na wewe, ila mtu aliekukubali utamjua tu....Reaction saaingine zina ku dilute huelewi umekubaliwa au bado.
Hahahah, ukitoa ushirikiano kwa mawasiliano mazuri tu soon tunakulana na kuwa wapenzi rasmi ila wengine mapozi mengi. I hate such girlsKuna kuzungushwa flani hivi huku ukisomwa na wewe, ila mtu aliekukubali utamjua tu....
we ndo master sasa[emoji3] [emoji3]Nadharia nyingi zimepitwa na wakati, nina mifano kadhaa ambayo wanawake wameniambia jibu no.1-4 na wote nimewagegeda mwisho wa siku.
Siri kuu ni moja, “know your target” kwenye kutongoza kuna vitu muhimu kuvitilia mkazo. Hivi ni “input-output” yaani ana react vipi unapofanya kitu.
Sikubaliani kumtokea KE siku ya kwanza, acha mvuto kati yenu ujengeke. Utajikuta unatupia sound dk 2 tu ushakubaliwa, zinabaki story tu “oohhh nilikupenda tokea zamani” mara “oohh nilijua una mtu” au “flani akijua itakuaje?”