Majibu yangu kwa Mohamed Said dhidi ya habari za Chifu David Kidaha

Unakielewa kilichoandikwa?

Mkuu Nyerere nitapataje hiko kitabu chako?
Na pia nitapataje hayo maandiko ya Mohammed Said?
Ni vizuri kujua historia ya nchi yetu beyond Mwl Nyerere, however, character assassination wont help anyone now or later.
 
Mkuu Sspai kacha, mimi nimemuunga mkono Yeriko kwa asilimia 100% kupinga urongo uliondikwa na mrongo fulani. Hoja yangu ni uongo ukisemwa sana na kuachwa biła kukanushwa ndio unageuka ukweli. Andishi la uongo linapingwa na andishi la ukweli na waandishi wote wa historia sources zao ni fasihi simulizi sasa mtu anapodanganywa na waliomsimulia urongo kisha akauandika urongo huo kama ukweli , kama hatatokea mtu mwingine anayeujua ukweli bayana na kuuweka wazi , then watu wataishia kulishwa urongo.

Hivyo alichofanya Yeriko ni kitu kizuri sana.

Pasco
Sasa Pasco,muandishi wa leo anaweza kuwa "mrongo"zaidi kuliko wa jana,kwakuwa angalau wa jana alikutana na masalia ya watu walioyaishi maisha yanayotengeneza historia ya kweli,au kuyapokea kutoka kwenye midomo michache zaidi kwenda nyuma na hivyo kupunguza upotoshaji,kuliko kutoka kwa mwanahistoria wa leo ambae amepokea kutoka kwenye mamia ya wapokeaji.
Vipi Yeriko awe na ukweli kumzidi babu yake Mohamed Said ambae ana machapisho katika vyuo vikuu vingi duniani,mbali ya idadi ya machapisho yake?
 
Nionazo ni sarakasi tu za Yericko na wenzie kamwe hawawezi kusimama kwa hoja kama alivyo Mzee Mohammed Said, baadhi ya majibu yao kwa comment zitolewazo yamejawa na mihemko na dhana ya ubishani na wala c kumfahamisha yule atakaye kujua kama afanyavyo Mzee Mohammed. Mtu hujifunza busara hata kwa adui yake au anayedhani kuwa mdhaifu kwako, basi hebu jifunzeni busara za kujibu hoja za watu kama afanyavyo mzee Mohammed huenda mkakaribia kueleweka kidogo.
Umesha kisoma kitabu cha Mohamed Said na hiki changu?
 
Nilitaka kushangaa kama huyu bibie asingetokea labda alikua mgonjwa. Mghaka hawa jamaa nashindwa kuwaelewa pamoja na mwalimu kuwasaidia kwa kutaifisha shule za wakatoliki wenzake bado wanamuita mdini. Hatari .
Hawa Nyerere kwao ni najisi kumtaja
 
Mkuu Nyerere nitapataje hiko kitabu chako?
Na pia nitapataje hayo maandiko ya Mohammed Said?
Ni vizuri kujua historia ya nchi yetu beyond Mwl Nyerere, however, character assassination wont help anyone now or later.

Kwa waliopo Tanzania wanaohitaji kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi kwa mauzo ya jumla na rejareja fika Posta mtaa wa Samora Jengo la NHC ghorofa ya kwanza duka la House of Wisdom Bookshop,

Au piga simu 0715865544. / 0755865544 Nitakuletea mahali ulipo

Bei Rejareja ni Shilingi 30,000 na Bei ya jumla ni 25,000

Wale waliopo nje ya Tanzania, nunueni kupitia mtandao wa Amazon.com

Dowload hapa chini sasa..

Amazon.com: Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi (Afrikaans Edition) eBook: YERICKO NYERERE: Kindle Store
 
Sasa Pasco,muandishi wa leo anaweza kuwa "mrongo"zaidi kuliko wa jana,kwakuwa angalau wa jana alikutana na masalia ya watu walioyaishi maisha yanayotengeneza historia ya kweli,au kuyapokea kutoka kwenye midomo michache zaidi kwenda nyuma na hivyo kupunguza upotoshaji,kuliko kutoka kwa mwanahistoria wa leo ambae amepokea kutoka kwenye mamia ya wapokeaji.
Vipi Yeriko awe na ukweli kumzidi babu yake Mohamed Said ambae ana machapisho katika vyuo vikuu vingi duniani,mbali ya idadi ya machapisho yake?
Kwenye taaluma ya uandishi hakuna vipimo hivyo, histori ni somo linalofuata misini ya ukweli na sio akili ya mwandiki bali tukio lilivyotukia
 
sahimtz

Uzi huu tumeamua kutowajibu, mwenye swali lake aje kwenye uzi orijino. Huu ni Yericko Nyerere anatafuta kiki kwa kutumia jina la Alama Mohamed Said.

Tumemstukia.
Hivi hamchoki? Hizo porojo za barazani mtaani Gerezani zimechuja na labda malimbukeni pekee ndio wana muda wa kusikiliza/kusoma ngano za huyo mueneza umbeya. Nyakati hizi si kama huko nyuma mtu anajifungia chumbani na kuanza kudanganya Umma kupitia kalamu yake akitegemea hakuna watu watahoji. Tuliozichoka hadithi zake tukiona hilo jina tu wala hatuhangaiki, tunajua anahadithia nini na kwa malengo gani.
 
Kwa waliopo Tanzania wanaohitaji kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi kwa mauzo ya jumla na rejareja fika Posta mtaa wa Samora Jengo la NHC ghorofa ya kwanza duka la House of Wisdom Bookshop,

Au piga simu 0715865544. / 0755865544 Nitakuletea mahali ulipo

Bei Rejareja ni Shilingi 30,000 na Bei ya jumla ni 25,000

Wale waliopo nje ya Tanzania, nunueni kupitia mtandao wa Amazon.com

Dowload hapa chini sasa..

Amazon.com: Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi (Afrikaans Edition) eBook: YERICKO NYERERE: Kindle Store
Nipo Namilembe Ukerewe nilitee copy moja.
 
Hahahahaha!! Naona yupo na Nicolas wanaladhimisha Mohamed Saidi aje kwenye huu uzi hili wapate kiki.
Km hujawahi fanya juhudi ya kutoa "wanaladhimisha" ni wazi hujawahi hata fikiria futa ujinga wako. Kick ya Watu wa hovyo km nyie inawafaa nyie wa kutaka marks zishushwe ili mfaulu. Kick inafaa huyu mzee wenu.
 
Hivi hamchoki? Hizo porojo za barazani mtaani Gerezani zimechuja na labda malimbukeni pekee ndio wana muda wa kusikiliza/kusoma ngano za huyo mueneza umbeya. Nyakati hizi si kama huko nyuma mtu anajifungia chumbani na kuanza kudanganya Umma kupitia kalamu yake akitegemea hakuna watu watahoji. Tuliozichoka hadithi zake tukiona hilo jina tu wala hatuhangaiki, tunajua anahadithia nini na kwa malengo gani.
Hao jamaa ni wa giza , ukiwapa mwanga wanakuwa waoga na wadogo sana.Hawa jamaa hawawezi simamia ktk fikra huru au critical thinking, wao na Ccm wanataniana ndio maana michezo yao ya paka na panya inaenda . Hadi sasa Yericko amesha reverse miaka yao kibao ya kudanganyana.

Mzee keshanusa disaster .
 
Hivi hamchoki? Hizo porojo za barazani mtaani Gerezani zimechuja na labda malimbukeni pekee ndio wana muda wa kusikiliza/kusoma ngano za huyo mueneza umbeya. Nyakati hizi si kama huko nyuma mtu anajifungia chumbani na kuanza kudanganya Umma kupitia kalamu yake akitegemea hakuna watu watahoji. Tuliozichoka hadithi zake tukiona hilo jina tu wala hatuhangaiki, tunajua anahadithia nini na kwa malengo gani.
Takbih! Itabidi huyu mzee wamuweke kwenye no fly list ili apumzike. Sitajisikia vizuri kupanda ndege moja na huyu mzee. Chuki yake kwa Mwl. Nyerere na Ukristo vinatisha. Maandishi yake yote lengo lake ni hilo moja tu hata ajifiche katika academics/usomi vipi. My gosh. Enough is enough!
 
Back
Top Bottom