Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,987
- 20,276
- Thread starter
- #221
Wewe kuwa mjinga sio kosa langu, mlaumu mzazi wako,Naomba jibu wapi Immanuel Kant alikuwa jasusi unanipa link ya Amazon.
Kumbe kitabu chako umetumia lugha ya Afrikaans.
Daah!! Kituko.
Nimekupa rejea zote hapo lakini bado unauliza hilohilo