Majibu yangu kwa Mohamed Said dhidi ya habari za Chifu David Kidaha

Kwenye taaluma ya uandishi hakuna vipimo hivyo, histori ni somo linalofuata misini ya ukweli na sio akili ya mwandiki bali tukio lilivyotukia
Nimebaki palepale,misingi ya ukweli unayoisema haipishani na hoja yangu ya kuwa waliopokea zamani wanayo nafasi nzuri ya kupata kilicho bora kwa kiasi kikubwa kuliko wanaopokea leo kama wewe,bado naona tafuti za mohamed said zinawezakuwa zilipata mengi zaidi na halisi kuliko zako ulizozifanya baada ya vizazi.
 
Inategemeana na mlengo wa wanaokupa habari hizo
 
Nimebaki palepale,misingi ya ukweli unayoisema haipishani na hoja yangu ya kuwa waliopokea zamani wanayo nafasi nzuri ya kupata kilicho bora kwa kiasi kikubwa kuliko wanaopokea leo kama wewe,bado naona tafuti za mohamed said zinawezakuwa zilipata mengi zaidi na halisi kuliko zako ulizozifanya baada ya vizazi.
Sio ww tu mwnye uwelewa huu tupo wengi tu tulio baki na imani na misimamo ya aina yako.
Kila jambo lina mkubwa na ktk hili la uwandishi wa hii historia ya nchii yetu bado mzee Muhamed hajapata mbadala ingawa kuna wengi wanaojaribu kutikisika.
Wanastahili pongezi kwa kujaribu lakini hawastahili kujilinganisha au kushindana na mzee Muhamed.
Nivyema wakajigunduwa wenyewe na kukubali kuwa wao bado ni wanafunzi na wanahitaji kupata muwalimu kama mzee muhamed.
 
Hatupo kwaajili ya kushindana, bali kuandika yaliyoyakweli
 
Hata ukweli unaviwango ukweli wako huwezi ukaulinganisha na ukweli wa
Mzee Muhamed.
Ni rahisi kuamini maandishi na simulizi za mzee Muhamed kuliko zako.
Mm sikatai kama ww umetunga kitabu lakini siwezi kulinganisha maandishi yako na ya ulamaa Muhamed Said.
WASWAHILI WANASEMA KIZURI CHAJIUZA KIBAYA CHAJITEMBEZA.
 
Back
Top Bottom