Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,814
Tunakujua Ndani nje , tunajua Maisha yako na Mali zako ambazo umezipata Kwa Hila , tukikaa vijiweni unajitamba Kwa majumba yako uloyapata au sio ?.
Mara ya Mwisho tumekaa Butiama.
Ujifungue mwenyewe Chumbani kwako, Mkeo akikupikia Chai, kwakua tu wee ni TISS na Mwenyekiti wa TEF ndio uje na jibarua lilojaa maujinga ujinga !!
Ndio sababu TUNDU LISSU alikuita 'Ovyo, usiekua na akili yaanijinga '.
Sasa nakujibu sawasawa na Ujinga wako ulouandika katika Barua !!
👉Mmekaa lini Kikao kama Wanajukwaa mkaja na hilo Barua lako ?.
👉Kwanini Umekua Mnafiki , umeshindwa hata kuonyesha Matumizi ya akili na Hisia Kwa kutilia 'Mkazo wa Hoja za Captain Tesha ' ?.
👉Kwanini umshambulie Capt Tesha na sio kujadili Hoja na mambo yote yalomfanya CAPT TESHA stoke hadharani aongee Kwa Logic namna Ile ?.
👉Unasema Jeshi lisiingizwe siasani? Unaishi Dunia yako eeh? Kwamba Huoni Kila siku Wanajeshi wakijiita Wana CCM?? Walijinasibu chama changu CCM , Uliwahi lini TEF kutoa Makemeo dhidi ya Wanajeshi hao wa CCM??.
👉TEF yako ni lini ilikemea UTEKAJI?.
👉TEF yako ni lini ilikemea Matendo ya ajabu wanayofanyiwa CHADEMA?.
👉Ni lini TEF yako ilikemea Ufungwaji wa Makanisa na vida dhidi ya Ukristo?.
👉Ni lini TEF yako ilikemea Majaribio na Mashambulizi dhidi ya Viongozi wa KATOLIKI na Kanisa la Katoliki Kwa ujumla?.
👉Ni lini TEF ilikemea Serikali kuingilia Mahakama zetu??
👉Ni lini TEF ilikemea Kesi ya Uongo na Kiduwanzi inayomtesa TUNDU LISSU? Au kwakua ni Adui yako alipokuita wee ni Bichwa maji??.
👉Ni lini TEF ilikemea Ufujaji wa Rasimali za Taifa ?.
👉Ni lini TEF ilikemea Maisha ya Anasa wanayoyaonyesha Watoto wa viongozi wa juu kama sehem ya matumizi mabaya ya Fedha za walala hoi ??.
👉Ni lini TEF angalau uliwah shauri kuhusu Matatizo ya usafiri ya hapa Dar kwetu ?.
👉Ni lini TEF lini wee Bichwa maji Uliwahi Kwema Mauaji ?
👉Ni lini we Bichwa maji Uliwahi shauri juu ya Kukamatwa na kufikishwa katika Sheria wote wanaotumika na Utekaji na Matukio ya mauaji ya Kisiasa yanayoendelea hata Leo hiii?.
👉Mwisho japo sio Kwa umuhimu, UMEJIULIZA MATENDO HAYA YA MATATU UTEKAJI NA MAUAJI NA UMINYWAJI WA HAKI ACHILIA MBALI UFUJAJI WA RASIMALI ZA NCHI NINI ITAKUA HATIMA YAKE IKIWA SAMIA NA GENGE LAKE ATAENDELEA KUA RAIS? UMEWAZA NI GHARAMA GANI WATANZANIA WATAILIPA 2026-2030??
Ni wangapi watatekwa Kwa kuendelea KUKOSOA?.
Ni wangapi watauliwa Kwa kuendelea KUKOSOA?
Ni wangapi wàtafungwa Mahakaman Kwa kesi za uongo Kwa kuendelea KUKOSOA??