Majibu ya TCU yametoka

Mloweka majibu ya matokeo ya tcu tunawashukuru maana h nchi n ya ajab coz watu wameyafanya kitega uchumi mpaka wazalishe ndo wayatoe,loo hadi kuona jina langu kazi.
 
kwa ufupi hawa jamaa wa tcu wanahitaji muda kuimudu kazi ya it. wanatoa vipande vipande vya majibu. mara ya mwisho wametoa batch 2 lakini ukilinganisha na batch 1 ya awali unakuta baadhi ya majina yaliyokuwemo katika batch 1 ya awali hayamo ktk batch 1 ya awaamu ya pili. bado vijana wana frequent cafe bila mafanikio hence wanazidi kupoteza hela za kuangalizia ktk cafe. wao wangevipa vyuo vitoe majibu baada ya wao kufanya "selection".
 
hayo majina mbona ni tofauti na yale ya kwenye web ya ardhi, maana mi nilichaguliwa landscape archtecture but kwenye selection ulizotoa sijajiona????
 
hayo majina mbona ni tofauti na yale ya kwenye web ya ardhi, maana mi nilichaguliwa landscape archtecture but kwenye selection ulizotoa sijajiona????

Hii ni thread ya 2010 so selection ni ya 2010 so jina lako haliwez kuwepo
 
Sijawahi kuona wababaishaji kama hawa make walianza kuahidi matokeo yangetoka August hayakutoka! Leo wametangaza kwenye magazeti lakini hakuna lolote. This is very boring tcu

Jamaa wazushi wanaleta siasa kwenye mambo ya msingi, kazi yao ni kusimamia ubora wa elimu na kudhibitisha uhalali wa elimu kwa wale waliosoma nje kama unaendana na kiwango tunachotoa lakini wao wapo mpaka kwenye selection hata hivyo wanachemka kwani mtu yupo Iringa badala ya kumpangia huko amabako hiyo course ameomba anapelekwa Arusha ambapo anaongezewa mzigo wa nauli na gharama zingine. Mpaka chuo kinakuwa University maana yake kina uwezo wa kuchagua watu ambao ni competent na wamekidhi vigezo ili mwanafunzi achague vyuo anavyotaka kulingana na location aliyopo alafu wao kazi yao ni kufuatilia kama vyuo vimefuata mwongozo but wao wamejitwika majukumu mengine kabisa ya kufanya selection badala ya kufuatilia ubora kwa ujumla
 
Back
Top Bottom