Mjibu nimekupendea ujumla wako, waweza ongeza vikombolezo vingine kuwa anakufanya ukamilike, pia smile yake unaku melt etc.
I see the part of you in me
I see the part of me in you
That's why I love you.
wewe hujui umependea nini????
mapenzi haya loo
Mjibu nimekupendea ujumla wako, waweza ongeza vikombolezo vingine kuwa anakufanya ukamilike, pia smile yake unaku melt etc.
Kwa nini uwe muongo kwa kutafuta madesa hapa?Just be urself.Be man enough to speak the truth.Mwambie yaliyo moyoni mwako.Akiumia asiumie at the end the truth will set both of you free
Habar wajaman!
Kijana wan kiume nimekua na mahusiano na wadada takriban ni watatu sasa, lakin swali la umenipendea nini aun kwanini umenipenda niloulizwa na wapenzi wangu wote hao limekua likinishinda na kwakweli bado cjapata jibu lake sahihi!
Nimekua nikijiuliza hivi::
nikijibu nimekupendea tabia yako atajisikia kumbe sina mvuto wa sura wala shep na muonekano mzur, nikisema nimekupendea uzuri wako nitaulizwa uzuri wa kitu gan sura au kiungo fulan, nikisema unamichezo mitamu atajifikiria kumbe me sina mvuto wa sura wala shep na muonekano mzur ila najua michezo tu, nikimwambia ye nimzur wa kiungo fulan cha mwilin wake napo atajisikia vibaya kwakua maishani hicho kiungo chaweza toweka kwa ajali au pengine kupungua ukubwa/uzur wake na asiwe na mvuto kwangu tena.
Kwakweli me hua nampenda mwanamke kwakuangalia mambo mengi na hatimae kupata ujumla wake na ndipo nafanya uamuzi, sasa hua nashindwa kusema haswa nimekupendea nini kwasababu hata nikitaja jambo moja au mawili yalonivutia kwake bado naona hayo peke yake hayatoshi kumpenda mtu! Hapa nilipo hilo swali limesharudiwa kuulizwa jana na majibu sijatoa na mtu amesusa akidai mimi simpendi sasa sijui niibuke na jibu la kusema nimempendea macho na kiuno? maana macho yake na kiuno chake ha ha haaaah!
naombeni msaada wanajamii haswa wadada kwenye swali la UMENIPENDEA NINI? au KWANINI UNANIPENDA? hua munatarajia majibu gan ili kujiridhisha kua mtu huyo anakupenda kwa dhati???
mi huwa sing'atagi mdomo kaika ilo...kama nimemendea makalio namwambiaga, kama n chuchu saa sita namwambia ili ajue kuwa kama siku vikitoweka hana lake! haya mambo ya kudanganyana...ooh mi nimekupenda jumla mi huwa siyawezi! kuna demu mmoja nilimpenda kwa jinsi anavyolowanisha uwanja kunako sita kwa sita na nilimwambia ukweli...infact alifurahi na akaahidi kuilinda hali hiyoili nisimkimbie!wewe hujui umependea nini????
mapenzi haya loo
vip kama ungekua umempendea kitu ambacho yeye asinge penda kukisikia toka kwa mpenzi wake! mfano umemwambia nimekupendea unene wako uliopita kiasi au hata nimekupendea pesa zako huoni kwamba unaweza kumkosa na kujutia nafasi kwakua kweli ulikua unampenda kwa dhat au ulikua na advantages nyingine zaidi ya mapenzi!!!??mi huwa sing'atagi mdomo kaika ilo...kama nimemendea makalio namwambiaga, kama n chuchu saa sita namwambia ili ajue kuwa kama siku vikitoweka hana lake! haya mambo ya kudanganyana...ooh mi nimekupenda jumla mi huwa siyawezi! kuna demu mmoja nilimpenda kwa jinsi anavyolowanisha uwanja kunako sita kwa sita na nilimwambia ukweli...infact alifurahi na akaahidi kuilinda hali hiyoili nisimkimbie!
unachosema ni sahihi ila mimi huwa napenda kuwa muwazi! kama nimependea unene wakee uliopitiliza naona kama atafarijika na kuona kuwa pamoja na umbo lake la ajabuajabu lakini kumbe kuna watu wanaomthamini na kumpenda hivyo hata vunjika moyo kabisa zaidi ya kufurahia na kujiamini zaidi!vip kama ungekua umempendea kitu ambacho yeye asinge penda kukisikia toka kwa mpenzi wake! mfano umemwambia nimekupendea unene wako uliopita kiasi au hata nimekupendea pesa zako huoni kwamba unaweza kumkosa na kujutia nafasi kwakua kweli ulikua unampenda kwa dhat au ulikua na advantages nyingine zaidi ya mapenzi!!!??
Kwakweli hawa viumbe wenzetu they are so delicate na wanahitaji kunyenyekewa ili uweze kwenda nao sawa vinginevyo unaweza toa majibu ukitaraji yatampa faraja kumbe mwenzio ana perseption/fikra tofauti (mis interpretatuions) mwishoe malumbano na mapenzi kuyumba kama co kuvunjika