Majibu ya ngoma

dazipozi

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
1,137
Reaction score
106
Hivi kati ya WANAUME na WANAWAKE ni wepi wenye uwezo mkubwa wa kuhimili pressure za kusubiri majibu bbda xa kupima NGOMA?Mia
 
Inategemea na mwenendo wa mhusika.
 
Majibu yanaweza kuwa mepesi.mfano tumekupima damu inaonyesha wewe huja asilika ni mzima kabisa.ila jitahidi kufanya mazoezi,pumzisha mwili wako,kula vizuri,sali sana,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…