Majibu ya mfanyakazi wa NMB kuhusu kadi ya ATM

Basi unajifunza sehemu isiyo sahihi mkuu. Coz kwenye nchi hatari kwa hackers duniani na zilizo na utaalamu mkubwa zaidi wa kimitandao na udukuzi wala Germany haipo kwenye list. Sidhani kama lengo lako litatimia, change country or huwez fanikiwa.
Tatizo sio list mkubwa tatizo hao waliopo kwenye list ni tishio kwa nani kiuchumi na list imetolewa na nani it obvious jibu ni US mjerumani hatishii chochote ila ni hatari kuliko unavyozani.
Kuna algorithm zinafundishwa kwa siri sana hata hao warusi wanasubiri.
.
Kwanini nasema hawa jamaa ni hatari kwanza hakuna anaewafatilia kwa sababu serikari ya dunia iko pamoja nao kwa kuzingatia hilo utakuwa umenielewa ukihitaji kujiunga na haya mafunzo ni dola 80 kwa mwezi
 
Kukusaidia tu hapo.
1. Tunza namba yako ya siri.
2. Usitumia WIFI kufanya online transaction.
3. Log kwa kutumia official websites.
4. Uwe na dedicated email address for online transactions.
5. Tumia dedicated bank account kwa kufanya online transactions. Sio akaunti yako ya akiba uliyoweka ela zote ndio uitumie kufanyia online transactions.
6. Make sure unatumia PC au simu yako kwenye hizo transactions. Sio unaenda hata Internet Cafe unalog kutumia au simu za mwenzako.
7. Uwe una tendency ya kubadilisha password zako mara kwa mara, sio password unaitumia miez mitatu.
8. Update PC yako na pia uwe unatumia antvirus nzuri. Achana na antivirus hizo unazo download na kutumia bure.
Mkuu hata akitumia kaspersky bado hata akitumia official website bado hizo card zipo kwenye lisk kutokana tu na mfumo wa ufanyaji kazi wake
 
Vyote hivi na vingine vingi utaambiwa na bank yako unapotaka kuwa unafanya online transactions. Na ukivizingatia sio rahisi kwa hacker yeyote yule kukuibia. Believe me, Wanao ibiwa wengi ni wale wasiozingatia vigezo na masharti ila ukizangatia vigezo na mashart alaf bado ukaibiwa yani umeibiwa na sio uzembe wako mbona hiyo ela bank yako watakulipa vizur tu.
 
Mkuu hata akitumia kaspersky bado hata akitumia official website bado hizo card zipo kwenye lisk kutokana tu na mfumo wa ufanyaji kazi wake

Nasema official websites coz hizo nyingi unakuta unakuwa forced kutumia virtual keyboard, so threat of phishing or attacks za keyloggers zinakuwa minimized. Mfumo wa ufanyaji kazi hizo kadi upo controlled sionu tatizo hapo mimi.
 
sio kweli mkuu kuwa hizi kadi ni rahisi kuibiwa,wakati dunia inasogea mbele sisi tunarudi nyuma,hizi kadi ni salama (kutokuwa salama kunategemea na mtu mwenyewe mwenye kadi,)na hii technolojia imeanzishwa kurahisisha ununuzi wa vitu vidogo vidogo kama coffee au airtime kwa haraka,na elewa kuna KIWANGO MAALUM KWA KUTUMIA HUDUMA HII ,10USD NA KAMA NI ZAIDI YA HAPO LAZIMA UTUMIE PIN NUMBER;na kwa siku huwezi fanya touch and go kama umeshatumia kiwango chako;always facts zibakie hivyo ;pin number yako ni siri yako,usikubali msaada WOWOTE wakati wa kutumia kadi yako(unless ni staffs wa bank ila pin ni siri yako)kadi yako usiondoke machoni kwako wakati wa manunuzi ni lazima kadi iwe mkononi mwako wakati wote wa matumizi NEVER usimpe kadi yako mhudumu.
 
Kukusaidia tu hapo.
1. Tunza namba yako ya siri.
2. Usitumia WIFI kufanya online transaction.
3. Log kwa kutumia official websites.
4. Uwe na dedicated email address for online transactions.
5. Tumia dedicated bank account kwa kufanya online transactions. Sio akaunti yako ya akiba uliyoweka ela zote ndio uitumie kufanyia online transactions.
6. Make sure unatumia PC au simu yako kwenye hizo transactions. Sio unaenda hata Internet Cafe unalog kutumia au simu za mwenzako.
7. Uwe una tendency ya kubadilisha password zako mara kwa mara, sio password unaitumia miez mitatu.
8. Update PC yako na pia uwe unatumia antvirus nzuri. Achana na antivirus hizo unazo download na kutumia bure.

Nafanya
1. 2. 3. 4.5. 6. 7(mara chache). 8 sawa. Mana natumia Eset internet Security na ipo na browser special ya online payments

At least sasa najiona nipo salama
 
sio kweli mkuu kuwa hizi kadi ni rahisi kuibiwa,wakati dunia inasogea mbele sisi tunarudi nyuma,hizi kadi ni salama (kutokuwa salama kunategemea na mtu mwenyewe mwenye kadi,)na hii technolojia imeanzishwa kurahisisha ununuzi wa vitu vidogo vidogo kama coffee au airtime kwa haraka,na elewa kuna KIWANGO MAALUM KWA KUTUMIA HUDUMA HII ,10USD NA KAMA NI ZAIDI YA HAPO LAZIMA UTUMIE PIN NUMBER;na kwa siku huwezi fanya touch and go kama umeshatumia kiwango chako;always facts zibakie hivyo ;pin number yako ni siri yako,usikubali msaada WOWOTE wakati wa kutumia kadi yako(unless ni staffs wa bank ila pin ni siri yako)kadi yako usiondoke machoni kwako wakati wa manunuzi ni lazima kadi iwe mkononi mwako wakati wote wa matumizi NEVER usimpe kadi yako mhudumu.
Asante mkuu.
 
Shida kubwa ni kwamba hii elimu ni ndogo sana hapa tanzania.

Iwapo mfanyakazi wa benki aliepp kitengo cha kutolea kadi hajui/hawezi toa maelekezo ya kutosha kuhusu kadi husika basi ni hopeless kabisa.

Niseme tu iwapo kuwa hao hackers wakajua bongo kuna vitonga basi wote watahamia huku
 
Back
Top Bottom