Majibu ya mfanyakazi wa NMB kuhusu kadi ya ATM

unachosema ni kweli inawezekana kuwa hack ila hii technology kwa wenzetu imefanya vizuri sana pia na amini kwenye swala la usalama wamefanya research za kutosha ila akuna security amboyo iko safa 100℅
 
Mkuu mi naona TZ watu wanaiba kwa kukwapua na kutumia silaha zaid, hao wez wa mitandao bongo bado sana tena ukizingatia hiyo maatercard ni ya mbele huko huko na wizi wa mitandao sio rahis ambako ndipo kwenye ma hackers wa ukweli licha iwe huku bongo? Relax, cha kuchunga tu ni namba ya siri na kuangalia vibaka wakwapuaji hizo za mitando we gat a long way to go. Yani bado sanaaa.
 
Jidanganye mkuu, watu wanapigwa kila leo..kimya kimya wanalia na bank zao
 
Hizo card ni rahisi kuibiwa na professional hacker's ambao bongo hatunao wengi, pale unapofanya transaction yoyote kwa kutumia hizo wireless card wanaweza kupata kupata serial number yako na card namba yako wakazitumia kutengenezea accounts zinazohusisha malipo kwanza, wakalipia vitu online kwa pesa yako na kwa kuwa hatuna utaratibu wa kuomba Bank statement basi ndio unaliwa. nipo kwenye training na hackers wa kijerumani ya kufanya huo umafia hata kwa kutumia iris yako mnaopenda kupigapiga selfie
Carding..
First you need high speed internet connection then you are ready to go....

Nunua vitu kwa kwenda mbele Amazon and Co. Bila kulipa hata senti.
 
Yani mfano card ipo kwenye wallet,mfuko wa nyuma..mtaalamu kutumia simu tu anakuscania na kupata some details
 
Bongo wanibiwa kwa kutokutunza namba ya siri, nakuhakikishia bongo hakuna kesi hata moja ya kuibiwa mtandaoni.
Mkuu usi generalise , mimi nimeibiwa mwaka jana na wakati nafuatilia bank ndio nilijua matukio haya yapo baada ya kukutana na wahanga wenzangu
 
Hizo card ni rahisi kuibiwa na professional hacker's ambao bongo hatunao wengi, pale unapofanya transaction yoyote kwa kutumia hizo wireless card wanaweza kupata kupata serial number yako na card namba yako wakazitumia kutengenezea accounts zinazohusisha malipo kwanza, wakalipia vitu online kwa pesa yako na kwa kuwa hatuna utaratibu wa kuomba Bank statement basi ndio unaliwa. nipo kwenye training na hackers wa kijerumani ya kufanya huo umafia hata kwa kutumia iris yako mnaopenda kupigapiga selfie
Training inafanyikia wapi mkuu?
 
Mkuu mi naona TZ watu wanaiba kwa kukwapua na kutumia silaha zaid, hao wez wa mitandao bongo bado sana tena ukizingatia hiyo maatercard ni ya mbele huko huko na wizi wa mitandao sio rahis ambako ndipo kwenye ma hackers wa ukweli licha iwe huku bongo? Relax, cha kuchunga tu ni namba ya siri na kuangalia vibaka wakwapuaji hizo za mitando we gat a long way to go. Yani bado sanaaa.
huku bongo ni rungu shoka mtama roba ya mbao tu. Ni kweli mkuu ila nilikua najaribu kupata tahadhari tu mana haya mambo unaweza ukakuta akaunti wamesafisha
 
Mkuu usi generalise , mimi nimeibiwa mwaka jana na wakati nafuatilia bank ndio nilijua matukio haya yapo baada ya kukutana na wahanga wenzangu
Tafadhali brother kama unaweza kutupa dondoo zitasaidia kidogo zitakazosaidia kujilinda itakua poa sana.

Asante
 
Back
Top Bottom