Majibu ya mfanyakazi wa NMB kuhusu kadi ya ATM

Have this symbol on your credit or debit card? Here's what it means
Credit and debit cards come in plenty colours and each has a special feature attached to it. Right from the basic cards to the premium cards that charge a hefty annual fee.

By Danny D'Cruze
Friday, August 3, 2018
card_505_080318030406.jpg

Credit and debit cards come in plenty colours and each has a special feature attached to it. Right from the basic cards to the premium cards that charge a hefty annual fee. However, there is a new symbol that can be found on credit and debit cards these days which looks like the symbol that denotes WiFi, just in the horizontal position.

If you have this symbol on your card, it means your credit or debit card has the contactless feature and can be tapped to pay. Contactless cards don't necessarily need to be swiped to make a transaction. These cards come with Near Field Communication (NFC) chip that allows short-range data transfer without the need to touch the point of sale (PoS) device.

As per Visa's official website, "Contactless payments use short-range wireless technology to make secure payments between a contactless card or payment-enabled device and a contactless-enabled checkout terminal. When you tap your card on a PoS machine with contactless symbol, your payment is sent for authorization." Visa claims a contactless card works when it is within 4cm of the PoS and that the contactless payment terminal can only process one transaction at a time.

This payment technology is growing in developed countries. According to a report by Independent, one in every four card payments has been done using a tap to pay card. Visa claims, apart from US, over half of retailers in countries like Australia, Canada, UK and France accept contactless cards.

In India, the trend has been catching up and many supermarkets have started using PoS machines with the tap to pay symbol.

c.c Philipo D. Ruzige
 
Asante kwa hili somo.
 
Training inafanyikia wapi mkuu?

Usidanganyike wewe, hao wenyewe anaosema wana mtrain kwenye nchi yao hawagusi chochote security zipo tight mbaya, bora hata angesema nchi kama India, kule kuna special case ndio maana ukichunguza vzur hata kadi za magnetic stripes hazisomi, huko inasoma chip tu.
 
Have this symbol on your credit or debit card? Here's what it means
Credit and debit cards come in plenty colours and each has a special feature attached to it. Right from the basic cards to the premium cards that charge a hefty annual fee.

By Danny D'Cruze
Friday, August 3, 2018
card_505_080318030406.jpg

Credit and debit cards come in plenty colours and each has a special feature attached to it. Right from the basic cards to the premium cards that charge a hefty annual fee. However, there is a new symbol that can be found on credit and debit cards these days which looks like the symbol that denotes WiFi, just in the horizontal position.

If you have this symbol on your card, it means your credit or debit card has the contactless feature and can be tapped to pay. Contactless cards don't necessarily need to be swiped to make a transaction. These cards come with Near Field Communication (NFC) chip that allows short-range data transfer without the need to touch the point of sale (PoS) device.

As per Visa's official website, "Contactless payments use short-range wireless technology to make secure payments between a contactless card or payment-enabled device and a contactless-enabled checkout terminal. When you tap your card on a PoS machine with contactless symbol, your payment is sent for authorization." Visa claims a contactless card works when it is within 4cm of the PoS and that the contactless payment terminal can only process one transaction at a time.

This payment technology is growing in developed countries. According to a report by Independent, one in every four card payments has been done using a tap to pay card. Visa claims, apart from US, over half of retailers in countries like Australia, Canada, UK and France accept contactless cards.

In India, the trend has been catching up and many supermarkets have started using PoS machines with the tap to pay symbol.

c.c Philipo D. Ruzige

Sawa kabisa, nice thread.
 
Jidanganye mkuu, watu wanapigwa kila leo..kimya kimya wanalia na bank zao

Nakuambia hakuna kitu kama hicho. Watu wanaibiwa kwa kutokutunza namba za siri, kupoteza ATM Cards etc, yani namaanisha wizi usio wa kitalaam bali uzembe wa watumiaji. Unatakiwa ufaham kwamba all Financial Intitutions (FI) wapo regulated, incase there is any insecurity kwa fedha za wananchi hizo F.I zipo hatarini kunyang'anywa vibali vya uendeshaji. Kwa hiyo wanafanya kila namna hilo jambo unalosema wewe ni rahisi lisiwezekane kabisa pesa za watu zisije zikapotea. Alaf pia hao mastercard na Visa ni internation corporations ambazo zina reputation kubwa duniani nao pia wanataka wawezeshe watumiaji wawe salama na majina yao yaendelee kuheshimika, sasa niambie mtu u breach Mastercard security then u breach security za bank zetu za kibongo unafikiri ni rahisi hivyo? Kwa sababu wote hao wanajilinda kuhakikisha mtumiaji yupo salama. Nataka nikuambie kitu kimoja kama akitokea mtu akafanikiwa ku penetrate security zote hizo mbili tofauti lazima aliyeibiwa kuna vigezo na masharti atakua kavunja pia, kwa maana nyingine aliyeibiwa kawa mzembe sehemu flan au kashirikiana na hao wezi. Period!
 
Kujilinda kwa nchi yetu ni rahisi sana kwa sababu hakuna anaeingilia faragha ya mwingine japo kuna vijana hatari sana wakitanzania wapo kwenye forum ya kijeruman nikiwem mimi tunapata ujuzi ila ina highest risk.
.
Ushauri wangu uwe na tabia ya kuomba bank statement mara kwa mara

Utoto bana..
 
Basi unajifunza sehemu isiyo sahihi mkuu. Coz kwenye nchi hatari kwa hackers duniani na zilizo na utaalamu mkubwa zaidi wa kimitandao na udukuzi wala Germany haipo kwenye list. Sidhani kama lengo lako litatimia, change country or huwez fanikiwa.
 
Kujilinda kwa nchi yetu ni rahisi sana kwa sababu hakuna anaeingilia faragha ya mwingine japo kuna vijana hatari sana wakitanzania wapo kwenye forum ya kijeruman nikiwem mimi tunapata ujuzi ila ina highest risk.
.
Ushauri wangu uwe na tabia ya kuomba bank statement mara kwa mara

Ungesema China, USA, Russia au hata India basi. Hapo kidogo ningeweza kukuelewa, ila sio Germany.
 
Asante brother. Tunawezaje kujilinda?

Binafsi huwa situmii huduma yoyote zaidi ya Atm
Kwa kifupi kabisa ni kuwa usihofu chochote. Hiyo ni alama inayoonyesha kadi yako unaweza ukalipa manunuzi yako kwa kutumia 'contactless''. ie Kwa kawaida unapofanya manunuzi ya bidhaa sehemu kama super market na ukitaka kufanya malipo kwa kutumia kadi yako mara zote inakuwa kwamba ni lazima uingize kadi yako kwenye payment terminal halafu ubonyeze namba zako za siri ili kukamilisha malipo. Sasa kwa upande wa hii kadi, ukifanya malipo ya kiwango cha chini inakuwezesha kufanya malipo kwa kugusisha kadi yako kwenye payment terminal bila kuweka namba zako za siri. Kwa kifupi ni kuwa unaweza kufanya malipo na kadi yako bila kutumia namba za siri. Lakini uzuri ni kuwa malipo unayoweza kufanya kwa kutumia namba za siri ni malipo madogo madogo tu (ili kuepusha mtu kutumia kadi yako). Angalia post inayofuata.
 
1538977891189.png

Hapa malipo yanafanyika kwa kuiweka kadi yako karibu na payment terminal (contactless) bila kuingiza namba zako za siri.
 
Ungesema China, USA, Russia au hata India basi. Hapo kidogo ningeweza kukuelewa, ila sio Germany.
Mkuu usikalili mambo Germans ni hatari kuliko hata hiyo Russia unayoifahamu kwa kuwa inasemwa sana na wamarekani
 
Cha msingi ni kuwa Bongo hutaitumia sana kwani ni sehemu chache wanazolipa kwa kutumia kadi. Ni muhimu pia kufahamu kuwa malipo kwa njia ya online au kutoa fedha kwenye ATM hakubaliki unapokuwa na kadi kama hii
 
Asante brother. Tunawezaje kujilinda?

Binafsi huwa situmii huduma yoyote zaidi ya Atm
Kukusaidia tu hapo.
1. Tunza namba yako ya siri.
2. Usitumia WIFI kufanya online transaction.
3. Log kwa kutumia official websites.
4. Uwe na dedicated email address for online transactions.
5. Tumia dedicated bank account kwa kufanya online transactions. Sio akaunti yako ya akiba uliyoweka ela zote ndio uitumie kufanyia online transactions.
6. Make sure unatumia PC au simu yako kwenye hizo transactions. Sio unaenda hata Internet Cafe unalog kutumia au simu za mwenzako.
7. Uwe una tendency ya kubadilisha password zako mara kwa mara, sio password unaitumia miez mitatu.
8. Update PC yako na pia uwe unatumia antvirus nzuri. Achana na antivirus hizo unazo download na kutumia bure.
 
Back
Top Bottom