Mbona haraka hivo loh hiki kizazi duh.Samahanini wana jf hii September intake inayoishia August 8 mwaka huu majibu ya application ni lini ??
Umeona vijana wasio na kitu kichwani. Sensible kijana hawezi kuuliza ujinga kama huo. Deadline ni jana na maelezo yako katika instructions kuwa utakuwa contacted through the contacts you have provided when making application........sasa leo tu anauliza lini majibu!Mbona haraka hivo loh hiki kizazi duh.
MweupeUmeona vijana wasio na kitu kichwani. Sensible kijana hawezi kuuliza ujinga kama huo. Deadline ni jana na maelezo yako katika instructions kuwa utakuwa contacted through the contacts you have provided when making application........sasa leo tu anauliza lini majibu!
Hili ni jibu sahihi na la kiungwana sana, ubarikiwe sana kwa faida ya muuliza swali na wengine@Ratiba ipo TCU View attachment 2709240