Majibu ya maombi ya September Intake 2023/24 ni lini?

phil78

Member
Jan 12, 2023
47
71
Samahanini wana jf hii September intake inayoishia August 8 mwaka huu majibu ya application ni lini?
 
Mbona haraka hivo loh hiki kizazi duh.
Umeona vijana wasio na kitu kichwani. Sensible kijana hawezi kuuliza ujinga kama huo. Deadline ni jana na maelezo yako katika instructions kuwa utakuwa contacted through the contacts you have provided when making application........sasa leo tu anauliza lini majibu!
 
Mweupe
 
Ratiba ipo TCU
IMG_20230805_154217.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom