Majibu ya Kihuni

Majibu ya Kihuni

Alola

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2013
Posts
476
Reaction score
300
IMG_79759983491587.jpeg
 
Pole. Ishu ni kwamba, huyo denti alitakiwa kujibu 'TRUE' au 'FALSE'. Maneno aliyoandika katika hio pepa haijulikani kama yanaamanisha 'true' au 'False', yamekaa kiwizi wizi.

Okay, kweli ana haki ya kupata medal!
 
Kwa kwerii huyu ni mwanafunzi wa shure ya kyaaaka? maana hand writing False/True amezifananisha sana, kwaa kweeri ukisoma kwa haraka haraka unaweza usitambuwee
 
Huyu muhuni anatakiwa achezee bakora kama tatu nne hivi kwa kosa la kumchanganya mwalimu. Hehehe
 
Kwa mwalimu kilaza lazima uteleze na kumpa tick
 
Back
Top Bottom