Majibu ya Kigwangalla: Kwa Nini Sikusaini Hoja ya Mhe. Zitto Zuberi Kabwe (MB)!

Jamani huyu doctor uchwara hamjamuelewa, anasema ataunga upinzani mkono mambo madogomadogo tu, na siyo mambo makubwa kama haya ya kutaka kukata tawi lake alilokalia = chakula chake.

Zitto usije kumjibu huyu mjinga USIJE USIPOTEZE MUDA WAKO ZITTO, you got serious issues to deal with, achana na huyu mlafi mwingine wa CCM kiama chake 2015 pumbafuuuuuuuuu......

Hawa CCM wanatakiwa kupigwa risasi woteeeeeeeee wafe wezi sana majambazi
 
I PITY you Hamis!
You reflect the poverty in Nzega!!
You don't reflect the historical Background of Tabora region especially during Slave trade!!
However, you fit to be a ccm member! probably a national chairman of ccm because those are the response expected from ccm leaders!
 
Natuna shukuru kwa kujitambuwa unafiki wako nakujitambulisha kwa wa tz ufisadi wenu tuna kusumbiri 2015
 
nimekuelewa mkuu unamaanisha ccm kwanza na nchi baadaye sawa kabisa dr na waziri mtarajiwa wa tanzania

Huyu jamaa ni bonge la snitch, kipindi anawasopoti madaktari kwenye mgomo alikua amesahau kwamba anayumbisha serikali ya CCM?
Hamisi ni mnafiki mkuu, tena bora angefunga mdomo wake kuliko kuropoka huu utumbo.
 
Wananchi wa Nzega walipolia kuhusu ufisadi wa Wazungu wa mgodi wa Resolute, Kigwangalah alilia pamoja nao. Leo Watanzania tunapolia dhidi ya ufisadi unaofanywa na baadhi ya mawaziri, Kigwangalah anacheka nao. Tumekwishagundua kuwa huyu jamaa mnafiki, anafuata maslahi binafsi zaidi kuliko kuutetea umma wa Watanzania.
 
bora hujasaini, ungetia nuksi karatasi zetu za mashujaa walosaini, hata ester bulaya anakuzidi, kweli HK umefilisika fikra,
majibu kama haya yangetolewa na Lusinde nisingeshangaa,
 
Nahisi njaa kujadili hoja za Kigwangala, naomba nitumie muda huu kufikiri juu ya mambo mengine ya msingi. HAFAI, nadhani ndiyo faida ya kubebebwa, hawezi kufikiri tofauti na wale wanaombeba maana anajua atapokonywa mbeleko.
 
dr hamis kigwangala umeongea jambo moja kubwa na ambalo watu hawataki kuelewa kwa uchanga wa siasa! pale bungeni wabunge wameingia bungeni kwa vyama! hoja ya utaifa isiingizwe na nia ya kutaka kujipa umaarufu kivyama! jf ina member wengi lakini wenye kutafakari mambi bila jazba ni wachache sana!
 
Duuuu, mkuu Kigwangala MD, MPH...........uwezo wako wakufikiri ni mdogo mno. Ni kweli kabisa huwezi kukata mti uliokalia maana mti wenyewe ndo uliokufanya upitie mlango wa uwani, hii inaonesha ni jinsi gani hata waliopiga kura za maoni walivyoona jinsi gani ulivyo na uwezo mdogo. Bwana mdogo Mh. Khamisi K, huwezi jilinganisha na Mh. Zitto hata chembe. Ili upate kupinga ya Zitto inabidi wabunge walao kumi wa ccm mkae mtafakari kwa pamoja, mark my words. Kwahiyo hao wabunge waliosaini fomu ya Zitto toka chama chako ni wasaliti? Mchumia tumbo mkubwa wee, na ibilisi akutangulie. Uchaguzi ujao tafuteni njia ya kukimbilia. Umeandika matapishi tupu humu.:frusty:
 
Ndiyo maana ulikuwa mshindi wa tatu.
Hoja ya kumwondoa PM haikuwa hoja ya kivyama, ilikuwa hoja kwa maslahi ya wananchi.
Kutoshirikisha ubongo ni hasara sana.
Wabunge wa ccm mnaendelea kutuaminisha kuwa Mbunge moja wa CDM ni sawa na wabunge 50 wa CCM
 
Ndugu zangu wanabodi,

........Mimi sijawahi kuwa mnafiki, at least kwa alama tatu za mnafiki kama tunavyofundishwa sisi waislamu. Kwa faida ya mjadala huu, niseme alama zenyewe.
Moja ni kuwa akitoa ahadi hatekelezi.
Mbili, ni akiaminiwa anahalifu na
Tatu, akizungumza husema uongo
........
Wakatabahu,
HK.
Hizo alama Tatu, Mkweere anazo zote.
Kwa hiyo na yeye ni Mnafiquun?
 
Kweli hii International Pumba Production!
yaan hanajuta hata ku log in nakuandika alichokiandika
kwel wakisema JF ndo kula za maon zitokee humu ccm inakula kwao mara mabilion ya JK!
Yaaan mpaka sasa jamaa kaungwa na wa2 watatu sjui wa 4!
Aluta Kontinyuaaaaa!!
 
Duh aise kumbe zile harakati zako za kuwatetea wanachi wako nzega mpaka ukakamatwa na polisi, ilikuwa ni unafiki mtupu ina maana sera za wachimbaji wadogowadogo kudhulumiwa haki zao ni sera ya chama chako? Sasa kwa nini uliamua kupingana nazo kama sio unafiki wako? Kaka kama ujajipanga vizuri usipende kutoa coment zako hapa jf.
 
Back
Top Bottom