Dionize N
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 1,848
- 3,293
Asante sana Mose kwa kuniita nyani ila akae atambue anamkufuru Mungu kwa sababu ndio aliyeniumba kwa hiyo anavyonifananisha na nyani na mimi nafananishwa na Harmonize pia na Hamornize ni nyani kwa hiyo tuko nyani wawili’-Hamorapa.
Source: You Heard
Source: You Heard