Sheikh Uwesu Khalfani Kiumbe ameruhusu Waislamu kula ubwabwa wa siku ya Krismasi. Sheikh Uwesu ni Mwenyekiti wa BAKWATA Mkoa wa Kigoma, na pia ni mjumbe wa Kamati ya Mwezi ya Kanda ya Magharibi.
Licha ya uwepo wa idadi kubwa ya waislamu nchini Iran kiongozi wao mkuu wa Ayatollah Seyyid Ali Khamenei,hajaacha kuungana na Wakristo wanaoishi katika taifa hilo wanaoadhimisha kuzaliwa kwa Yesu kristo kila mwaka tarehe 25.
π¦BUSARA ZA KIISLAMU KATIKA TAIFA LISILO NA UDINI.
οΈUNGOMVI WA WAISLAMU NA WAKRISTO KATIKA TAIFA LISILO NA DINI NI UGOMVI HARAMU USIOTAKIWA KABISA.
βοΈUgomvi huo unastahiri kupingwa na kukemewa na Serikali ili kuondoa kwa haraka hali hiyo ambayo haipaswi kuzoeleka.
βοΈKama ikitokea yamaendelea basi Serikali itakuwa ni sehemu ya tatizo, kutukuza Haramu hiyo ya Udini ndani ya Serikali kama mtaji wa kisiasa amma kwa kutekeleza lengo la siri la serikali linaloficha mambo maovu yanayoendelea kupitia dini, hali ambayo ni mbaya sana kwa Rais mwenye imani ya dini hyo aliyepo madarakani kuonesha wazi kuwa ni sehemu ya mgawanyiko huo na Mvutano wa kidini.
" Dini zote duniani zinahubiri amani na mshikamano iwe budha hindu wakristo na waislamu zote zinahubiri amani lakini wewe mwislamu unaposema humtambui yesu wewe haujakamilika maana ameandikwa kwenye vitabu vyote vya kidini hivyo tunavyosherekea kuzaliwa kwake sio tunaongea maneno hasi juu ya wakristo ni sahihi kesherehekea nao kwa pamoja kuleta amani duniani"
Huyo kukku amechinjwa na nani?
Msitake kulazimisha vitu
Nenda kwa wayahudi, wana vyakula vyao vilivyochinjwa kwa dini yao, na hawali misosi ya wazungu
Hivi ni wapi hamuelewi nyinyi wagalatia wa siku hizi mnajifanya wajuaji