Dereva wa Lissu ni mtu muhimu saaana kwenye uchunguzi. Sasa anafichwa asihojiwe. Na wanaomficha ni wadau muhimu kwenye hii kesi. Ni wazi kuna kitu hapa. Dereva anakwenda kukaa na mgonjwa Nairobi na baadaye Belgium. Mwanzoni tukadanganywa anatibiwa kisaikologia. Sasa hivi hawasemi tena. Kwa nini isiaminike kuwa anafundishwa atakavyojibu pindi wanaomficha wakimwachia? Ila ukweli utafahamika tu. Wenye akili wanapojadili kushambuliwa kwa Lissu NI LAZIMA wawaze ni kwa nini dereva anafichwa kwa gharama kubwa sana.
Ni mtu tu mwenye upungufu mkubwa wa akili ambaye ndiye atashindwa kumshuku dreva wa Lissu kuwa aidha alihusika kwa namna moja katika shambulio hilo au ni kati ya watu wanaojua siri nyingi za wahusika wa shambulio hilo lililokuwa na lengo la kukatisha uhai wa Tundu Lissu. Hivyo wahusika wa shambulio hilo wanahakikisha dreva huyo hapatikani kwa njia yo yote ile hata ikibidi watamtoa uhai uhai wake. Afadhali aruhusiwe kuishi kama mkimbizi huko aliko akiwa na roho yake. Iko siku atarejea mambo yatakapokuwa salama kwake hapa Tanzania.Sasa yuko Chuo Anasema certificate kisha Diploma akimaliza degree ndiyo anakuja kuhojiwa
Habari za ndani zinasema anatafutiwa namna ya kupata Uraia au Ukimbizi
Jiulizeni kwanini yote hayo yanafanywa na Chadema?
Ukisikia wauaji waoga ni waliotaka kumuua Lisu, plan was totally mess....and even after walipatwa na mstuko kuliko ndugu na marafiki wa Lisu. Wasijue la kufanya ku- cover. Dereva anabahati mno, hakujrruhiwa na Lisu hakufa maana Lisu ndie mtetezi wake pekee katika hili. Mnaomtaja Dereva mmechelewa sana! Bora muwe kimya.Dereva aliokoka kutoka Risasi 38 na hakupata hata mchubuko kuna shida gani akawasili polisi kuhojiwa au kuelezea tukio?
Hoja za kishitholeeeeeee!Hii imegusa mfupa,shida mlizoea kukutaka na hoja za ndio mzee kila litokalo kwa lisu, saiz lzm mtukane sana coz hamkujipanga kujibu hoja yyt
Hivi ndege ikianguka hupaswi kumhoji pilot?Ukisikia wauaji waoga ni waliotaka kumuua Lisu, plan was totally mess....and even after walipatwa na mstuko kuliko ndugu na marafiki wa Lisu. Wasijue la kufanya ku- cover. Dereva anabahati mno, hakujrruhiwa na Lisu hakufa maana Lisu ndie mtetezi wake pekee katika hili. Mnaomtaja Dereva mmechelewa sana! Bora muwe kimya.
Tell us spinning Dk.Ni mtu tu mwenye upungufu mkubwa wa akili ambaye ndiye atashindwa kumshuku dreva wa Lissu kuwa aidha alihusika kwa namna moja katika shambulio hilo au ni kati ya watu wanaojua siri nyingi za wahusika wa shambulio hilo lililokuwa na lengo la kukatisha uhai wa Tundu Lissu.
Hii sentensi yako kama jina lako..., pilot ni back box ?Hivi ndege ikianguka hupaswi kumhoji pilot?
Ndege imeangukia baharini na kulipuka..pilot kapona ...asihojiwe kwa nini?Hii sentensi yako kama jina lako..., pilot ni back box ?
Acha kuandika unazidi kuonyesha upumbavu wako......kwanza siro keshafunga fail ......nashangaa mnaropoka huku mitandaoni. Forensic investigation haisubiri mtu, mazingira yanatosha..... Mikamera wametoa mnatafuta manusura kwenye uchunguzi.....black box is only reliable source of information to find exactly cause of plane accident period!Ndege imeangukia baharini na kulipuka..pilot kapona ...asihojiwe kwa nini?
Black box when there is no survivor ndio naweza kukubaliana nawe Ila pilot kapona halafu unahangaika na black box na kumuacha pilot anarandaranda sidhani kama ni sahihi.Acha kuandika unazidi kuonyesha upumbavu wako......kwanza siro keshafunga fail ......nashangaa mnaropoka huku mitandaoni. Forensic investigation haisubiri mtu, mazingira yanatosha..... Mikamera wametoa mnatafuta manusura kwenye uchunguzi.....black box is only reliable source of information to find exactly cause of plane accident period!
Kwa hiyo wahusika wa shambulio wamehakikisha dreva huyo hapatikani. Inawezekana hata huko Ubeligiji hayuko.Tell us spinning Dk.
You deserve more payment for the game your showing Dr.are you serious?Kwa hiyo wahusika wa shambulio wamehakikisha dreva huyo hapatikani. Inawezekana hata huko Ubeligiji hayuko.
Acha na hilo puga liko kaziniAcha kuandika unazidi kuonyesha upumbavu wako......kwanza siro keshafunga fail ......nashangaa mnaropoka huku mitandaoni. Forensic investigation haisubiri mtu, mazingira yanatosha..... Mikamera wametoa mnatafuta manusura kwenye uchunguzi.....black box is only reliable source of information to find exactly cause of plane accident period!
Asante sana mkuu ! "Ondoa jiwe na genge lake by any means possible" is a qualified statement of toppling an elected Government though colloquially framed ! The extreme means is a coup de tat implied here ! Kwa sababu njia mbadala ni ballot box, but the way the thread author concluded definitely the democratic means of removing the government was off the table in my view ! Hatuzungumzii kuondoa uongozi wa club ya mpira wa miguu au wa kampuni fulani, ni uongozi wa nchi ! Ndio maana nikatoa mifano hai za mataifa yaliyo pitia njia hizo ovu na leo hii sote tu mashahidi wananchi wao wanavyoteseka ! Labda tuu ningemshauri aangalie kwa makini sana lugha ya kiingereza anavyo itumia ili kuepuka tafsiri zisizokusudiwa na wasomaji.Kwanini unakuwa muongo? Kasema, "ondoa jiwe na genge lake by anymeans possible "
Unafikiri kwa tafsiri yako anamaanisha unavyomaanisha wewe au umejump kwenye conclusion kuiridhisha akili yako jinsi ilivyopokea kipengele hicho? Na kwanini ufikiri kuwa alilenga kama unayofikiri wewe? Usitoe majibu kwa maswali usiyoulizwa na usiwe unawafanyia wengine kwa kuwaburuza kwenye conclusion coner unayoitaka wewe!
Hakuna asiyeogopa ulichokiwazia kwani hasara zake ni nyingi kuliko faida na binafsi huwa napingana na wenye mawazo ya vurugu za aina yoyote! Binafsi naamini sana njia ya suluhisho mezani kwani ndiyo bora isiyo na madhara kwa pande zote!
Nashauri njia bora katika kujenga hoja zitakazotuunganisha na siyo zile za kutufarakanisha! Let's think rationally all the time for the health benefits of our nation! Wakatabahu!
Najibu hiyo namba 3 na 4.Nawashauri acheni habari kumtaja taja dereva whether ni kwa lengo la kuonesha hahusiki au anahusika. Tatizo ni kuwa watz wengi wanahitaji kusaidiwa ktk KUFIKIRI na at the same time wasiojulikana wapo kazini kupitia media, genge za kahawa na shoeshines kuwasaidia KUFIKIRI kuficha ukweli.
Maoni yangu ni kuwa mjadala wote juu ya jaribio la kumuua LISSU uwe ktk sura hii;
1. Je mtz yoyote akishambuliwa uchunguzi unatakiwa unafanywa na nani?
2. Je kuna uchunguzi wowote umefanyika juu ya Lissu?
3. Km NDIYO je maendeleo ya uchunguzi huu yamefikia wapi?
4. Km HAKUNA je why serikali ya Tz imeamua kutokufanya uchunguzi wa tukio la Lissu?
5. Je kwa katiba yetu nani ni mkuu wa serikali ta Tz na ana mamlaka kiasi gani?
6. Je nani ni mkuu wa serikali ya Tz wakati Lissu ameshabuliwa na sasa mwaka moja baadaye?
7. Je aliyepigwa risasi kuna watu anaowashakia walihusika in/directly?
8. Km wapo WANAOSHAKIWA je ni kina nani?
9. Km hawapo wanaoshakiwa hi habari ya dreva wa Lissu lengo lake ni nini?
10. Kwa hiyo sisi km watz tunafanyeje juu ya Lissu kupigwa RISASI 38?
Jibu la swali namba 10 ni hv, ondoa kichaa jiwe na genge lake by any means necessary, tengeneza katiba ya MERIT BASED SOCIETY kisha serikali na taasisi zitafanya kazi zake za kuchunguza yote ya kina lissu, saanane, azori, mawazo, yona na wengine wote.
Nje ya hapo ni kuendelea kunufaisha wanaonufaika siku zote na hawa watz wanaotakiwa kusaidiwa KUFIKIRI
Asee ,mpaka napata ukakasi,hivi uyo dereva ni jinsia gani hadi apewe "ukarimu" huu woteDereva wa Lissu ni mtu muhimu saaana kwenye uchunguzi. Sasa anafichwa asihojiwe. Na wanaomficha ni wadau muhimu kwenye hii kesi. Ni wazi kuna kitu hapa. Dereva anakwenda kukaa na mgonjwa Nairobi na baadaye Belgium. Mwanzoni tukadanganywa anatibiwa kisaikologia. Sasa hivi hawasemi tena. Kwa nini isiaminike kuwa anafundishwa atakavyojibu pindi wanaomficha wakimwachia? Ila ukweli utafahamika tu. Wenye akili wanapojadili kushambuliwa kwa Lissu NI LAZIMA wawaze ni kwa nini dereva anafichwa kwa gharama kubwa sana.