Majibu kwa lara 1

NDO HYPOCRISY NAYOSEMEA MNTAKA VIZURI TUUU VITAJWE VIBAYA AAAAAH! Hovyoooooo!

Na wale wazazi wangu mimi, WHAT I SAY OR DONT SAY ABOUT THEM IS UP TO ME!
 
Hata mimi namuombea lara 1 apate mme ili iwe ushuhuda na atasaidia wengi.
MAOMBI YAKO INABIDI YAAMBATANE NA MKESHA NA KUFUNGO MFULULIZO....
[h=3]Married Women have no Shot in this World! Dunia Kubwa Ni Kwa Wanawake Wasioolewa Tu!
Started by lara 1, 14th July 2014 22:35 [/h]
 

Mkuu umesema kweli lara 1 ana influence kubwa sana angalia post yangu point zimeondolewa nilikuwa nimelezea masahibu ya kujirusha kwa wanaume na wengi wanaogopa kumueleza ukweli lara 1,ukweli lazima tuuseme ikiwa ni masika ama kiangazi.
 
Kwani wa miaka 20-30 wana exception gani ya kukumbana na mambo ambayo wenye 30-40 watakumbana nayo?

Generally, ndoa haina umri.

Ndoa haina umri kwa wajane na wagane tu, acheni kudanganyana hapa bila sababu matokeo yake mnawapoteza wadogo zetu ambao mada za hapa wanazichukulia serious maana hata wazazi wenyewe siku hizi hawana muda na malezi.

Ni hivi kuna faida nyingi za kuoa/kuolewa mapema kwanza swala la kujenga familia hili wote mnalijuwa pia mwanamke kupata gape ya kuzaa kwa kadili ya watoto idadi gani mtapenda kuwa nao.

Mfano mimi Baba si mpenzi sana wa mitoko iwe wedding or whattever anatoa contributin lakini haendi.

Wakati mama akiwa bado mwajiliwa na bado anawakawaka mitoko na party zote za ofisini kwao amekuwa akienda na our first born brother R.I.P na anamtambulisha kwa wale wasiomjuwa maana wengine wanamjuwa ila wale wasiomjuwa hawakuwahi kuamini kama ni mtoto wake kweli bali waliamini mama ana kimchempuko chake ndio huwa anakuja naye kwenye party

just like now baba yangu ni mtu wangu wa karibu na ni successor wake lakini bado akinitambulisha hawaamini kama mimi yule ni baba yangu kweli kumbe hawajui nina gape ya miaka 7 kwa kuzaliwa na marehemu brother hapa ninaposema hivi sasa last born yuko university ndio anamalizia degree yake.

mwenye akili zake atakuwa amepata picha kwa mbali familia inatakiwa kujengwa vipi ili tusiwaache watoto yatima na sisi tupate bahati ya kuwaona wajukuu zetu na kucheza nao.
 

ukweli mtupu maana hata fani yoyote ina maadali yake si zaidi sana ndoa.
 
Omba Mungu upate mke mzuri,na usiwe muoga wa changamoto ndogondogo!
Manake wanaume wa siku hizi jambo dogo tu anakimbilia kuvunja ndoa ama kutafuta mchepuko

mchepuko unaweka heshima ndani!ni mtazamo tuu
 
[QUOTE=Matola;10146203]Ndoa haina umri kwa wajane na wagane tu, acheni kudanganyana hapa bila sababu matokeo yake mnawapoteza wadogo zetu ambao mada za hapa wanazichukulia serious maana hata wazazi wenyewe siku hizi hawana muda na malezi.

Ni hivi kuna faida nyingi za kuoa/kuolewa mapema kwanza swala la kujenga familia hili wote mnalijuwa pia mwanamke kupata gape ya kuzaa kwa kadili ya watoto idadi gani mtapenda kuwa nao.


Wakati mama akiwa bado mwajiliwa na bado anawakawaka mitoko na party zote za ofisini kwao amekuwMfano mimi Baba si mpenzi sana wa mitoko iwe wedding or whattever anatoa contributin lakini haendi.
a akienda na our first born brother R.I.P na anamtambulisha kwa wale wasiomjuwa maana wengine wanamjuwa ila wale wasiomjuwa hawakuwahi kuamini kama ni mtoto wake kweli bali waliamini mama ana kimchempuko chake ndio huwa anakuja naye kwenye party

just like now baba yangu ni mtu wangu wa karibu na ni successor wake lakini bado akinitambulisha hawaamini kama mimi yule ni baba yangu kweli kumbe hawajui nina gape ya miaka 7 kwa kuzaliwa na marehemu brother hapa ninaposema hivi sasa last born yuko university ndio anamalizia degree yake.

mwenye akili zake atakuwa amepata picha kwa mbali familia inatakiwa kujengwa vipi ili tusiwaache watoto yatima na sisi tupate bahati ya kuwaona wajukuu zetu na kucheza nao.[/QUOTE]Yaa umekuja na point nzito mkuu hasa hapo peusi.
 
wanoko wakisoma hapo kifungo kinakuhusu!

wanaweza fanya kwa wengine siyo kwa lara 1 mimi bado niko mdomo wazi baada ya poit zangu za utetezi kuondolewa kwenye hii post yangu sasa matusi kama haya ndo yanaachwa au ndiyo maadili ya jf? si jui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…