Majibu kwa lara 1

Sio maneno yetu, biblia ndo inasema."NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE."
GOOD! BIBLIA HIO HIO INAKATAZA KABISAA KABISAA KUFIKIA STAGE ALFA NA OMEGA KUAMUA KUSHUSHA KIBAO IN PERSON CHA AMRI 10 KUKATAZA HIZO TABIA HATARISHI, NA KUMLETA MWANAE WA PEKEE ASISITIZE, NA KATIKA MAMBO ALIYOSISTIZA NI HIO TAASISI YENU YA NDOA, JAPO HAKUINGIA ILA VITABU VYOTE 4 VYA INJILI MARK, METHEW, LUKE, JOHN VIMEWAPA COVERAGE KUBWA SANAAAAA!

JE MNATII NA KUFATA AGIZO LA ALF NA OMEGAAAA NA MWANA WA ADAM. PASIPO SHAKA KWA KUIHESHIMU NA KULINDA. MAAGIZO MLIOPEWA.? Thubutiuuuuuuuuuuuu! UTEKELEA UMEWASHINDA!

Sasa kama hutekelezi kitu usikomalie upewe privilledge promised endapo ungeketekeleza!

MFATE YOTE YALIO AGIZWA SIO KUCHACHUA TU !
 
Asante na wewe kwa maneno yako umekubali kuwa ndoa ni moja ya taasisi zilizo jaa unafiki ili kulinda desturi!
Ni heri tufe na yetu ya chumbani ili kulinda desturi na si sheria.

Na hapo katika kuchagua ya kusema huwa yanasemwa mazuri tuu!
 
Last edited by a moderator:
Sio maneno yetu, biblia ndo inasema."NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE."
kusema ukweli nako ni kuiheshimu!
Sidhani kama kwenye hiyo bible yenu Kuna sehemu inasema msiseme ukweli kama Kuna majanga pia!
 
lara 1

dhibitisha
= thibitisha

dhibiti ina maana tofauti, mfano kwa sentensi;

Dhibiti; nimemdhibiti yuko ndani hafurukuti.

Thibitisha; thibitisha kuwa kweli yumo ndani umemdhibiti.
 
Last edited by a moderator:
UKIENDA AU USIENDE CHANGAMOTO ZIKO PALE PALE! NOTHONG WILL CHANGE! Maybe tofauti itakuwa UMEHAMA KUSTRIKE UMEHAMIA DEFENCE YA TIMU PINZANI ILA LIGI ILE ILE!
Hamna paradiso kokote, duniani kuhangaika binadamu kaumbiwa!

Kuna time unaongea point smtm pumba nadhani wazazi wako wamekupa bad experience. Maisha gani hayana changamoto? Ugirlfrnd na uboyfrnd wenyewe Panachimbika VIP ndoa nyewewe. Kitu kimoja nikushauri nikwamba lovely married iz for those who trust in it! Lala one wewe ni "hard desire" after o we mchagga c ajabu hisia zako hazina mizania.
 

Lara1 ni binti aliyeikosa ndoa, hivyo anajaribu kuwakatisha tamaa wenzake na kuiponda taasisi hiyo!!! Anasumbuliwa na ugonjwa fulani unaitwa INFERIORITY COMPLEX, kama kuna mwanajamvi ana utaalamu wa kisaikolojia amsaidie huyu binti, kwa kweli yupo kwenye hali mbaya sana!!! SHE IS SUFFERING SERIOUSLY.
 

Hard desire anajifanya kauzu kumbe bati! Anakera sana...! She' so arrogant.
 
B
Lara1 inaelekea una wivu, afu haujui kama una wivu, wewe sema unayotaka kusema lakini,BEING IN MARRIAGE IS 100% BETTER THAN BEING SINGLE, kiafya na kiimani za dini zetu.
Haya maisha yana raha na shida kila mtu anajua hivyo usitake wanandoa wayatangaze matatizo kwa sababu sio njia ya kupata suluhu, afu kama zile nyakati za furaha ni nyingi kuliko za shida kwa nini wa-concentrate kwenye shida zao??
 
USIDANDIE TRENI KWA MBELE MJADALA UMEUKUTA KATI KATI UNAUIBUKIA! Anza mwanzo UJUE NINI CHANZO CHA HAYA MABISHANO NDO UTAELEWEKA HAPA SIO KUCHUKUA QUOTE MOJA JUU JUU NA KUIKOMALIA! Mi mzaramo wewe, huo uchaga wa kuokotezaaa!
 
Lara1 inaelekea una wivu, afu haujui kama una wivu, wewe sema unayotaka kusema lakini,BEING IN MARRIAGE IS 100% BETTER THAN BEING SINGLE, kiafya na kiimani za dini zetu.
Hahahahaaaa! IF LIES MAKE YOU SLEEP AT NIGHT WHY NOT? Hahaaaaaaaa! HAVE SWEET DREAMS!
 
Lara1 inaelekea una wivu, afu haujui kama una wivu, wewe sema unayotaka kusema lakini,BEING IN MARRIAGE IS 100% BETTER THAN BEING SINGLE, kiafya na kiimani za dini zetu.

This woman is frustrated with her life....kwanza ameenda age ( whether she deny it or not). Japo amesafirisafiri na kukutana na watu na kupata exposure kiasi lakini bado...... maana kama mtu anakaa anawashangaa watu kwanini hawaleti matatizo yao ya chumbani kwenye social media basi mtu huyo ana dosari kubwa sana.
She is so frustrated though she can't admit it before all this crowd.
Unaangalia tu post yake unacheka life goes on. Ni failure kwenye suala la mahusiano...ndio maana amebaki kuchuna tu.
Unajua kahaba huwa anatoa k ili apate hela....not a different scenario kama kutoa k and expect dough in return or any material things.
Kafail tayari...she is frustrated. Ipo wazi kabisa
 

HAHAHAAAAA! BAADA YA KUSHINDWA KUBISHA UNAFIKI HAUPO NDOANI NAONA MNA TAPATAPA NA WAFA MAJI NA NYIE! Hahaaaaa!

ONESHA HAPO KWAMBA MARRIAGE IS NOT AN HYPOCRITICA INSTITUTION! Otherwise nashukuru MMEKUBALI KUWA UNAFIKI MULE NDO NYUMBANI MWAO!

Afu DUA ZENU ZA KUKU MAISHA YENUUU HAZINIPATI MWEWE! Mwewe napeta tuuuuu! MTATAPATAPA SANAA HUMUUUUU ILA MKAVU MMEYAPATA KUKANUSHA MMESHINDWA HAHAAAAAA!
 
HOW DOES THIS. MAKE MARRIAGE NOT A HYPOCRITICAL INSTITUTION AGAIN.? Hahahaaaaaaaaa! NAONA HOJA ZIMEWAISHIAA MMEJITUTUMUA KUFICHA FICHA NA KUJARIBU KULETA HOJA DHAIFU WAPIIIIII NAONA SASA MNAJARIBU TRYING TO KILL THE MESSENGER SINCE THE MESSAGE OFFENDED YOU! Hahahahahaaa!
PROVE MARRIAGE IS NOT A HYPOCRITICAL INSTITUTION IF YOU CAN HAHAAAAAA!

Dua zenu za kuku mi mwewe bado sanaa kunipata!
 
we kahaba why dont you find a handsome donkey
Shostiiiiiiiii uko macho! SAJOOOOOOIWEEE najiandaaje na KITCHENI PARTY YAKO SASA! Mwali tumekunemaje leo sasa! Mpaka rahaaaaaa! Chezea cute, beautiful boyiiii! Wacha weeee!
 
i dont give a fuk who cares but i hate yo baboon outfit and fat stinky .....
Tushakupa u qween wa mmu, kwa bonge la ji party la msutooo, na shanga tumekuvikaa kiunoni shosti letuuu hilooo wataka nini tenaaa? TUMEKUBALI WEWE NDO BEAUTY WA MTAA, CUTEST WA JAMVI, MTOTO LAINIIIIII, MJURIII MJURIIII. Wachaaa weweee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…