Majibu kwa lara 1

Na wewe UNAHAMU YA KIGODORO NIKUITIE TULETE NA KEKI KABISAAA? Sema SUUUU!

Hahahahaha !!!! Ngoja nikusaidie kumwita mpiga ngoma missneeeddyyyy!!!
uje na tarumbeta loh!!!
 
Last edited by a moderator:
Kuna mod kilaza, kafuta integral zangu hapa, hivi anajua muda nlotumia kuandaa ile post ili ilete maana na topik hii?
Pole sanaaaa! NDO DUNIA ILIVO! Utashangaa za michambo hazifutwi!
 
lete nipo tayar kwa mtanange.. domo lako refuu litakatia hapa.
Mxiuuuuuuuuuuuuuu,! Huna la kufanya zuia nisiandike basi? Kelele za chura hazinizuii tembo kunywa maji! I dare you!
 

Hapo sawaaaaaaaa! Sio wale wa kutaka kujifanya bora zaidi!
 
Mxiuuuuuuuuuuuuuu,! Huna la kufanya zuia nisiandike basi? Kelele za chura hazinizuii tembo kunywa maji! I dare you!

hahaaaa huna lolote kujifanza mjanja kumbe hamna kitu
 
hahaaaa huna lolote kujifanza mjanja kumbe hamna kitu
We una kitu gani labda? Hahaaaaaa! Usinifosi kucheka wakati bado daku sijala! NYANI HAONI KUNDULE EEH,!
 

THANK YOU SO MUUUUUCH! No further questions your honor!
 
Hahahahaha unani chekesha yani unasema inabidi mnyamaze kwakuwa matatizo hayafanani? Wakati kila leo wanao amua kuyaeleza asilimia kubwa yana fanana?

Pengine mnajaribu kuonesha kuwa ndoa ni taasisi yenye mazuri tuu? Pengine mnafikiri ukweli ukisemwa wengine hawato tamani kujiunga!

Mnachotakiwa kujua kuwa hata kama mkisema mabaya yanayo wakumba ,watu hawato acha kuingia kwenye ndoa bali watazidi kujifunza!
 

Umeonaaaaaaa! HYPOCRICY WANAVOSHINDWA KUDHIBITISHA PASIPO SHAKA KWAMBA HAIMO KABISAAA NDANI YA HIO INSTITUTION! Wanabakia kuzunguka mbuyu tuuu! Ipo isisemwe , imalizwe tu kimya kimya? WTF? Kubalini tu we are bunch of hypocrites( not all but most of you) within a hypocritic institution BAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAASSS!

THE TRUTH WILL SET THEM FREE! Sijaona mtu akitoa hoja kuonesha USAFI WA HIO TAASISI NA KUTOKUWEPO ANY ELEMENTS ZA HYPOCRISY NI MAWAZO YANGU! Hata hawajielewi wengine humo humo wanakubali ipo iminyiwe, wengine wanabisha, wengine hands down wameafiki! Mvurugano tupuuuuuuuu!

Watu hawawezi kuacha ila inakuwa FAIR PLAY ALL CARDS ON THE TABLE! ( viongozi wa kidini wangeniona ninavoandika hapaa ningepigwa TOTAL BAN dini zoteee mpaka hinduuu! Hata wapagani wangenitimulia mbali!)
 
Ruttashobolwa, ndoa kama zilivyo taasisi zote duniani, inakabikiwa na chahgamoto nyingi sana. Lakini maisha bila changamoto yana furaha kweli, lazima binadamu akabiliane na hizo changamoto..ziwe za ndoa au maisha kwa ujumla.

Swala la kutoa ya chumbani, sidhani kama Ni vyema mtu kutoa mambo ya chumbani kwake. Ni lazima kuwe na mipaka ya kipi mtu akiseme na kipi kiachwe chumbani. Mtu anayetoa mambo ya chumbani anakosa zile core ethics za kuitwa mwanandoa...hata daktari akitoa siri za mgonjwa anaonekana hafai coz siri za mgonjwa anatakiwa azitunze.
 
Last edited by a moderator:
Lara 1 naomba sentensi tatu tu...za kunileweshaa kabula sijaa giza SAVANA AAAAAAAAAAA baridiiiiiiiiiiiiiiiiiiii so nisiende kwa ndoaaaa!11
 

no wasingekuban maana inafik stage wengine hata kwa wasuluhishi wanachokwa
ndoa ni hekma,busara,heshma na uvumlivu wa hali ya juu cause unaishi na mtu ambae mmelelewa tofauti mmoja kusini mwingine kaskazini
so all in all changamoto zipo nyingi tu but zinapaswa kisolviwa kwa hekma sana si kila mtu anaweza kua msuluhishi!
ndoa ni commitment kiukweli kabisa cha msingi na kuomba ni kumpata aliye tayari kujicommit au kama mwenza wako nae ana commitment i hope mtafika tu!
 
SASA MNACHOLIA LIA GENERALISATION IHESHIMIWE NA WATU WOTE NINI??? Au WOTE manake nini? Tulizeni ball kabisaaaaa! Usipoheshimu yako mimi hio watu wote tukuheshimu kama mazombi wakti mwenyewe mufilisiiii mtanisamehe!

Sio maneno yetu, biblia ndo inasema."NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE."
 
Lara 1 naomba sentensi tatu tu...za kunileweshaa kabula sijaa giza SAVANA AAAAAAAAAAA baridiiiiiiiiiiiiiiiiiiii so nisiende kwa ndoaaaa!11
UKIENDA AU USIENDE CHANGAMOTO ZIKO PALE PALE! NOTHONG WILL CHANGE! Maybe tofauti itakuwa UMEHAMA KUSTRIKE UMEHAMIA DEFENCE YA TIMU PINZANI ILA LIGI ILE ILE!
Hamna paradiso kokote, duniani kuhangaika binadamu kaumbiwa!
 
Hahahahaha !!!! Ngoja nikusaidie kumwita mpiga ngoma missneeeddyyyy!!!
uje na tarumbeta loh!!!

hahahahaha tarumbeta linapigwa kwa sababu maalumu afu mpaka tupewe amri na bosi
sijaona mchango wako kuhusu huu uzi hebu tiririka
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…