Write your reply...kwa mtatiro kujiunga na ccm,naamini kuna kitu kipo ccm.japokuwa watu wanasema kuwa wanaoenda ccm wananunuliwa.
Huyo aliyekuwa akichukua magari bila idhini ya wenyewe (AKIIBA) wakimtishia KUFUKUA MAKABURI, walahi NAAPA atatangaza kujiunga na CHAMA CHA MAJOGOO!!Sina chama cha siasa wala kadi ya chana chochote...
Lakini kwa jinsi nilivyokuwa namsoma huyu jamaa Mtatiro sikuwahi kuwaza kama anaweza kuhama..
Nawaomba wanasiasa wengine wa ccm na chadema kuanzia leo muwe mnaweka akiba ya maneno maana leo tukisema tuweke screenshot za matusi ya mtatiro kwa ccm yanaweza kufika hata page ya 20 hapa jf..
Lakini leo anaomba kwenda ccm..
Mwanasiasa niliyebaki nae kitoka upinzani na imani kidogo (2%) ni malisa na lissu.
Na hawa wakihama basi inabidi wanasiasa mtuachie dunia yetu nyie mkakae na viumbe wenzenu mnaowezana sayari nyingine
Kazi nzuri sana Mwenezi na Timu yako. Tunataka Tanzania imara na ya maendeleo.“Huu unaitwa uhuru wa kisiasa kwa mujibu wa katiba yetu, halafu wale wa ‘siasa za bei nafuu mseme kanunuliwa;” Hongera kaka, ndugu, kamaradi. Historia na Mungu pekee atakupa tuzo ya dhamira yako njema. Na mimi nimeikuta mtandaoni.”