Majibizano ya wanasiasa baada ya Mtatiro kuhamia CCM

Majibizano ya wanasiasa baada ya Mtatiro kuhamia CCM

Mtatiro ameona elimu yake haimsaidii anapokua upinzani hivyo akaona fursa upande wapili.
 
Zito anazidi kujipambanua; yeye anasema vita yake ni kuiharibu CCM anasahau kuwa wananchi wa kigoma walimpa dhamana ya kuwasemea ndani ya bunge na sio vingine.
 
  • Thanks
Reactions: mmh
ntakataa hadi mwisho mtatiro hajanunuliwa na kulikuwa hakuna sababu ya kununuliwa.

sema njaa yake na uroho wa madaraka, jumlisha fikra kwamba ukihamia ccm basi teuzi yaweza kukupitia ndo sababu ya kuhamia huko.

huyu kafata teuzi baada ya kumsoma mh. anawapa kipaumbele wahamiaji.

huyu hata akiteuliwa u dc, ama katibu tawala ila upuuzi hauwezi muisha kichwani.
 
Zito anazidi kujipambanua; yeye anasema vita yake ni kuiharibu CCM anasahau kuwa wananchi wa kigoma walimpa dhamana ya kuwasemea ndani ya bunge na sio vingine.
Umesahau kuwa n kiongoz wa ACT na kazi yake n hyo pia
 
Yanayotusibu na yajayo Yanasikitisha.Akimaliza upinzani rasmi wa vywama anahamia ndani ya chama chake,kisha kwa Watanzania,kumpoteza yeyote aliye na fikra kinzani hatarishi kwa utawala wake
 
Mi nahamu kibaki chama kimoja nione nchi yetu ikipaa kiuchumi maana nasimuliwaga tu enzi za Nyerere kilivokuwa chama kimoja hali itakuwaje loh!
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Umesahau kuwa n kiongoz wa ACT na kazi yake n hyo pia
Huwezi tumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja;

Achague ama kuwapigania wananchi wa kigoma au kuiharibu ccm kama kiongozi mkuu wa chama.

Kusema unafanya yote kwa pamoja ni kujidanganya
 
Mi nahamu kibaki chama kimoja nione nchi yetu ikipaa kiuchumi maana nasimuliwaga tu enzi za Nyerere kilivokuwa chama kimoja hali itakuwaje loh!
Usiombe hizo Siku zikarudi, nakumbuka sana maduka ya kaya,kujipangia bidhaa kabla hatua kadhaa unaambiwa bidhaa zimekwisha.
 
Huwezi tumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja;

Achague ama kuwapigania wananchi wa kigoma au kuiharibu ccm kama kiongozi mkuu wa chama.

Kusema unafanya yote kwa pamoja ni kujidanganya
Kwani mawaziri mpaka rais si wanavyama vyao kwann kwa zitto iwe tatizo
 
Ujinga ukiisha ndo utaweza kuitoa ccm madarakani, nguzo kuu ya ccm ni ujinga na policcm.
Pigeni siasa safi zisizo na ulaghai wala ukabila wala udini muone mtakavyopendwa, wauzieni sera wananchi ili wazinunue kwa kura,sio upuuzi huu wa kuitoa "CCM madarakani".. kwa wananchi nyinyi wenyewe hamuamiki munashinda kwenye viroba.

CCM haiwezi kutolewa madarakani kwa kutumia Bodaboda na Slogans za kipuuzi.
 
Nimeamini njaa haina baunsa!! Mtatiro kaona wenzake wamekula shavu naye huyo analifuata shavu. Na kwa vile ccm ina uhaba wa vijana wenye akili lazima atapewa cheo tu huyu!!
 
Mi kesho ntaenda kwa mjumbe wa nyumba kumi anipe kadi na mimi🤣🤣🤣
 
Bora CCM wanajiuliza na kutafakari lakini upande wa pili jibu lao ni moja tu …..WAMENUNULIWA . Wanakiri kuwa wananunulika….ambao hawajapata soko wanawacheka waliopata soko …..ni swala la muda tu na busara Zaidi ni kukaa kimya kuliko kujifanya unanyooshea vidole wengine kumbe na wewe utajaa kwenye kumi na nane zao siku si nyingi. Mnyenyekevu angejiuliza nini kinawatokea hawa majabali? Tunakosea wapi na nini?
Ushasema wanaofika bei kuna kujiuliza tena?, Njaa ya akili ni sheeder....!.
 
Back
Top Bottom