cleaner wrasse
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 9,078
- 10,119
Huyu bwana alikua anampiga sana majungu jiwe
Yani sijaamini alikua anamuandama magufuli hatareSina chama cha siasa wala kadi ya chana chochote...
Lakini kwa jinsi nilivyokuwa namsoma huyu jamaa Mtatiro sikuwahi kuwaza kama anaweza kuhama..
Nawaomba wanasiasa wengine wa ccm na chadema kuanzia leo muwe mnaweka akiba ya maneno maana leo tukisema tuweke screenshot za matusi ya mtatiro kwa ccm yanaweza kufika hata page ya 20 hapa jf..
Lakini leo anaomba kwenda ccm..
Mwanasiasa niliyebaki nae kitoka upinzani na imani kidogo (2%) ni malisa na lissu.
Na hawa wakihama basi inabidi wanasiasa mtuachie dunia yetu nyie mkakae na viumbe wenzenu mnaowezana sayari nyingine
Muulize Kinyonga (POLE2)...,ana paylist,anajua bei ya kila mchezaji. Kiwango cha MAFAO alicholipwa na ahadi alizopewa. Hii Biashara kama biashara ya bidhaa nyingine.wanaosema WANANUNULIWA.... natamani watutajie bei!
Kwani JIWE alipewa dhamana ili anunue POLITICIANS?. Mwishowe utauliza hivi binadamu kazaliwa ili ALE na KUISHI shule anaenda kifanya nini?.Zito anazidi kujipambanua; yeye anasema vita yake ni kuiharibu CCM anasahau kuwa wananchi wa kigoma walimpa dhamana ya kuwasemea ndani ya bunge na sio vingine.
Kweli mkuu TUMBO lina nguvu kuliko KICHWAMasikini hawezi kuwa mwanasiasa mzuri USA waliliona hilo.
ni KICHWA chako ndo kimeona hivyo mi sikubaliani nachoHao ndio wachumia tumbo wakubwa,wanaweza kukupa kisukari siku moja shauri zako
JIWE anatumikia Mabwana wangapi?. Kwake yawezekana kwa wengine haiwezekani?.Huwezi tumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja;
Achague ama kuwapigania wananchi wa kigoma au kuiharibu ccm kama kiongozi mkuu wa chama.
Kusema unafanya yote kwa pamoja ni kujidanganya
Si ndo huko nataka Ku experience jamani maana naona tunawekeza nguvu nyingi kwenye kuhangaika na upinzani as if upinzani ndo shida ya nchi hii, sasa tukibaki na Chama kimoja labda tutapiga hatuaUsiombe hizo Siku zikarudi, nakumbuka sana maduka ya kaya,kujipangia bidhaa kabla hatua kadhaa unaambiwa bidhaa zimekwisha.
Anamaanisha!!Hii ya nape ya rangi ya paka kama sijailewa vizuri vile!
Hilo hawezi jibu huyo, anachojua yeye ni KULIBEBA JIWE tu, anadhani jiwe limewezeshwa kufanya yote ila alie na wazo tofauti hawezi. Hapo TUMBO LIMESHIKA HATAMU.Kwani mawaziri mpaka rais si wanavyama vyao kwann kwa zitto iwe tatizo
Hayo Ndo mafanikio TUMBO inayo yatafutaKatibu tawala ajaye hivi karibuni haina ubishi hiyo
Unataka kujua bei?wanaosema WANANUNULIWA.... natamani watutajie bei!
Balshite embu lea kuanza mtoto chupa kumnunua kubenea au mtatiro hakumfanyi magufuli akapanda chatiHahahaha
Mtatiro Kama kanunuliwa ndio asinunuliwe Kubenea Au Joshua Nassari?
Mwanasiasa wa kuaminika Bado hajazaliwa Tanzania
Balshite embu lea kuanza mtoto chupa kumnunua kubenea au mtatiro hakumfanyi magufuli akapanda chati
Ndugu zangu wa T/ Bara mna matatizo gani. Tabia gani hii ya kuhama hama chama? inaoonesha kuwa masalahi ya pesa kwa wale wanaohama vyama nidyo driving force ya wao kuhama chama kimoja kwenda kingine. Sisi kwetu znz huwa cku zote hatuwaamini watanganyika kwenye mizania ya kisiasa. Hata mhalifu lipumba ilikuwa hatumuaimni kuwa ni madhubuti kiasi hicho na mwsho tumeona jinsi alivyofanya uasi. Kwa mtindo huu T/ nyika hakutakuwa na upinzani kabisa miaka ijayo. poleni wapinzani mnaohama.Unaweza shangaa Mtatiro anateuliwa na rais kuwa mbunge; kama zile nafasi za rais bado zipo halaf ndo apewe uwaziri.
Ni kweli kabisa mkuu, unatakiwa ujiamini mwenyewe tu basi.Hakuna wa kumuamini kwa sasa