Maji ya moto au baridi kurudisha uke katika hali yake baada ya kujifungua?

Kajole

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
1,667
1,642
Nimeona huu mjadala huko jamuhuri ya Facebook wakibishana juu ya njia asilia kurudisha uke wa mwanamke aliyetoka kujifungua.
Mabishano ni makubwa wengine wakidai aoshe uke na maji baridi kila anapopata haja ndogo.

Wengine wakisema aoshe na maji moto. Nikaona ni Bora niuleta huku kwenye wataalam zaidi ili nipate uhakika nikashauriane na mke wangu aliyejifungua tarehe 15/5/2021

Baby boy.
 
Kajole Una jirani na wanawake wa Kipemba kama unao basi waone wakurejeshee mnato wako ,kuanzia tumbo na huko alikotoka baby boy utapenda na wiki moja mkeo atapona kabisa ikiwa kajufungua normal si kwa operation na kama huna majirani wa kipemba basi watafute utakuja kunishikuru.
 
Back
Top Bottom