Maji ya kunywa katika familia!

Maji ya kunywa katika familia!

Vichaa na machizi wana kinga maalumu. Mkuu hebu kwa akili zako timamu jaribu kwenda kula mabaki ya vyakula majalalani uone kama utapata magonjwa au la.

unaweza ukaielezea ni kinga gani hiyo? How?
 
Kuna jamaa ni daktari aliwahi niambia mwilini kuna bakteria wazuri na wabaya, vichaa na machizi huwa hawapigi mswaki hivyo mdomoni mwao huzaliwa bakteria wazuri kwa wingi ambao hupambana na bakteria wabaya pale anapokula vyakula vya majalalani hivyo ni nadra kumuona chizi/kichaa akiugua kutokana na chakula anachokula.

Sent using Jamii Forums mobile app

ahsante mkuu. Cc Numbisa tayari nimeshapata jibu
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]sawaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nijitambue sijawahi kuchemsha maji ya kunywa na wala sitachemsha na hua sichagui maji yawe yametoka mtoni, bwawani, kisimani najigongea tu na wala sijawahi kuumwa tumbo, typhoid, uti, sijui kichocho zaidi hata ya miaka 20

Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
 
Mhh, ni sawa hata kisayansi, lkn mm siamini ktk hilo maana toka nijielewe sijawahi kunya maji yaliyochemshwa, na pia hata nikienda kwa jirani wakiniuliza maji nawaambia wanipe yasiyochemshwa.
Bu any way uzi ni wa muhimu. Hongera
Upo mkoa gani mkuu??
 
Ugumu wa kuchemsha maji unaanzia wapi? vijijini huwa tunawaencourage wachemshe maji ya kunywa sambamba na muda ule wanachemsha maji ya kupikia ugali. Au baada tu ya kumaliza kupika, yale masalia ya mkaa au kuni yanaweza kutumika kuchemshia maji ya kunywa. Hapa hata mtu awe busy vipi, anaweza kumudu hili. Kama wanavijiji wanaweza hili, surely nyie wa mjini mnaweza pia.
 
Mimi nijitambue sijawahi kuchemsha maji ya kunywa na wala sitachemsha na hua sichagui maji yawe yametoka mtoni, bwawani, kisimani najigongea tu na wala sijawahi kuumwa tumbo, typhoid, uti, sijui kichocho zaidi hata ya miaka 20

Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
Sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuh inaonekana kinga yako ya mwili ipo juu sana,kwa mkoa wa Dar na Morogoro unywe maji bila kuchemsha na usiugue ni jambo la kumshukuru mungu
Fact, pia sio hilo tu, huku kuna mbu wengi mno na kuna kipindi niliugua kwenda kucheck malaria nikakutwa nayo ila sikuchukua dawa, ikawa nikipata homa nameza panadol ikipoa napiga mishe zangu, nilimeza siku tatu tu toka hapo sijui hata ile malaria ilielekea wapi. NAMSHUKURU MUNGU IMMUNE SYSTEM YNG IKO NJEMA
 
Hii thread nimeielewa. Kianzia mwakani nitakuwa nachemsha maji.
 
Kwa wasio na friji, fedha za kununua maji, dawa. Usalama wa maji ni muhimu.
Uwe una nafasi ya kuweka jiko lenye mkaa wa moto unaobaki baada ya kupika hasa chakula cha jioni/usiku.

Jaza maji safe kwenye sufuria. Weka kwenye jiko la mkaa mchache unaobaki baada ya kupika. Funika sufuria na mfuniko safi.

Lile joto la usiku kucha kwenye maji hata kama hayachemki linaua vimelea vya kusumbua tumbo.
Nimetumia njia hii kuandaa maji ya kunywa kwa familia ya watu 07 kwa zaidi ya miaka 20.

Kuishi ni kujifunza.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom