Said S Yande
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 932
- 756
Ndoo 5 ac au bomba LA majiNajua pressure kubwa na masikio ya wengi yapo Dodoma ila naomba msaada kwa wanaojua hili..
Nilipo kuna tatizo kubwa la maji ya bomba.. sasa nimefunga AC na tumejikuta tukivuna maji mengi sana kwa siku inafikia ndoo 5 za lita 20.. kwa kutumia maji yanayotiririka kutoka kwenye AC-
Swali ni je? Maji haya yanaweza kufaa kwa matumizi ya kuoshea vyombo au kufulia nguo nikimaanisha maji haya ya AC hayana madhara yoyote?
Nawatakia subira njema toka chama tawala